eFootball Special Thread

I

Ivi kuna watu mnachezea padi mbona mnafanya kila kitu perfect pasi inaenda inafika mtu anatuliza mali vizuri tuambiane ukwelπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚maan mchezo wangu nasikitisha nacheza kama pamba jiji
Wachezaji wangu wana one touch pass hamna cha ajabu chochoteπŸ˜€
 
Nimetumia skills tano kwa Halaand

Ni huzini kwa kwel wanampa crossing halaand muda gan atakuwa winger apige cross

Hii itanisaidia mbele maana nimemaliza Gp kumchukua Touchmen maana mfumo wangu pendwa ni double pivot nataka niwe na Anchor wawili na orchester wawili ili wawe wana partner

Box to Box Dm nilikuwa nao wawili nimerelease wote maana hawanifai tena
 
Baada ya kumaliza kazi ya kutengeza kikosi changu cha mchongo nilale sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Muendelee kunipa maoni maana bado vingi sijui humu...

Sawaa mkuu shukran sana kwa ushauri ngoja nitafute coins nitafute kocha kama Razorblade na Mourinho wakeπŸ˜ƒ
πŸ˜‚ tafuta coins tu mkuu kiwashe sana kwenye events, nimetumia kama siku 7 hivi kukamilisha 500 coins.

Kutokana na maelezo ya NEGAN kwa namna unavyocheza pambana umchukue huyu jamaa bado pack yake ina siku 43.
 
Napenda Quick Counter Possession siwezi Mimi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Event nimemaliza zote na nilitumia coins 100 kumnunua Kravishella na mia kujaribu kumpata Chelline kwenye epic,πŸ˜ƒ

Saiv najutia coin za kwenye epic ningekuwa na 300 muda huu
 
Kwa mara ya kwanza kwenye historia yangu ya magemu nimetoa hela kununua mchezaji...

Guardiola nishampata NEGAN formation ipi nzuri kwa Quick counter ambayo inatumiaa double pivot
 
Kwa mara ya kwanza kwenye historia yangu ya magemu nimetoa hela kununua mchezaji...

Guardiola nishampata NEGAN formation ipi nzuri kwa Quick counter ambayo inatumiaa double pivot
View attachment 3240269
Formation nzuri za quick counter za ushindani ni 4222 ya double povot na 2 Attacking midfielder au 4222 ya 2 right na left MF.

4312 pia ni nzuri

Halafu kuna hizi pia

Kwa ufupi formation strong kwenye game ni za kushambulia kati kati 4222 long ball counter au 4222 quick counter au 4312. Formation za mawinga sio nzuri tunachezea kujifurahisha tu lakini kushinda ni kazi na wing play.
 
Napenda Quick Counter Possession siwezi Mimi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Event nimemaliza zote na nilitumia coins 100 kumnunua Kravishella na mia kujaribu kumpata Chelline kwenye epic,πŸ˜ƒ

Saiv najutia coin za kwenye epic ningekuwa na 300 muda huu
Usirogwe uka spin kwenye epic huwezi pata unapoteza coin bure tuπŸ˜ƒ
 
Napenda Quick Counter Possession siwezi Mimi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Event nimemaliza zote na nilitumia coins 100 kumnunua Kravishella na mia kujaribu kumpata Chelline kwenye epic,πŸ˜ƒ

Saiv najutia coin za kwenye epic ningekuwa na 300 muda huu
πŸ˜‚πŸ˜‚Hii tabia tunayo wengi, sema Kuna mda unabahatisha ila siji kufanya tena
 
Napenda Quick Counter Possession siwezi Mimi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Event nimemaliza zote na nilitumia coins 100 kumnunua Kravishella na mia kujaribu kumpata Chelline kwenye epic,πŸ˜ƒ

Saiv najutia coin za kwenye epic ningekuwa na 300 muda huu
Kama ni QC fanya umuwahi Frank Lampard kabakiza siku 8 tu.
 
Kwa sasa natumia 4-2-3-1, naweza kubaliana na wewe ila kwa upande wangu nitajitahidi niwe pro kwenye huu mfumo na playstyle zake LBC a OW.
[/QUOTE]
Niliona nyuma uliandika uliibiwa account itakua ulikua unatafuta free coinπŸ˜€
 
Mkuu we acha tu ndipo nikagundua kumbe kuna watu wapo serious na game kuliko maisha yenyewe πŸ˜‚
 
Nimejalibu kucheza na Attacking Midfielder nilikuwa natumia ile ya 4321 nimekutana na mtu sikupitisha hata pasi moja ikanibid niwatanue tu AMF wangu walud kuwa mawinger
Labda ngoja nizoee kupita kati ila nitapata tabu kwanza πŸ˜ƒ kabla sijaelewa mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…