basi hiyo itakua shida sana kwanguUkiwa unacheza online mtandao hakikisha upo vizuri maana ukisumbua tu kidogo unashangaa goal hiloo
Sienjoy vyema.Kwa nini mkuu?
kama zipo mechi zingine ntakua napiga hizo ila online matches ntakua nafuliwa sanaUtajararibu ukizingua utakua unacheza match zingine. Ukiwa sehemu nzuri ndo una kipiga na mtu online.
Ukisha badili simu lichukue mkuu hutojutia.Ili gm ni moto wa kuotea mbali jana kuna sehemu nililicheza, kurusha kwangu cm ikazingua. Niwe mkweli limenipa hamasa ya kubadili cm. Wale wa googlepxl niibuke na toleo lipi?
Naona post ya Mikeka haifunguki[emoji24][emoji24][emoji24] Moods mnatutesa tunahitahi Code tuendelee Kubet.Ukisha badili simu lichukue mkuu hutojutia.
Uache na hela ya gb 2 za kudownload game[emoji23][emoji23]
πππ ujapigwaa nyingi wee uko unataka kukimbiaMimi nacheza EA FC 24 mobile (zamani fifa mobile), kwa sasa nipo division ya Legendary 3,, ila watu wa mule sio poa wanagusa mnoo. Natamani kuhamia efootball kwa sasa
Ukisha badili simu lichukue mkuu hutojutia.
Uache na hela ya gb 2 za kudownload game
Dsl ndo nini? Ni dls, hili game kila nikijaribu kucheza najikuta nafuta, Mnalipendea nini yan nashangaa ni sawa na kufananisha apple na hp kwenye swala la pcNimecheza magemu yote Ila DSL ni habari nyingine aisee
Napigaga watu saba saba ila Mwanzoni nmepigwa hadii 10Hili game wanapiga hatareeπ€£π€£