eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Tatiz9 e football wengi wanaogoapa ku update GB 2 kila mwezi noma bora wacheze DLS tu.
Hahaha 😆 😂
1. Wanaogopa update za mara kwa mara.
2.simu zao hazi support game
3.hakuna kucheza offline huku ni online tuu🤣
▫️ndo maana wanasema DLS ni bora ila ukweli haupingikii eFootball ni motoo🔥🔥🏃‍♂️🏃‍♂️🤣👐
 
Hivi mkuu hilo efootball hamna namna ya kulicompress na kutuma kwa njia ya telegram kama file maana nalitamani ila 2gb parefu
Duuh, sijajua kama itawezekana hiyo kitu. Ukishindwa otea wifi sehemu 🤣🤣
 
mkuu ulikua unataka nilifute 😀 😀 😀 😀
Hapana mkuu😂mimi nina mwaka 1 na nusu toka ni download hili game nime update mara 2.
1. Ilikuwa kama mb 800 hv
2.mwanzo wa msimu huu hii ndo update kubwa gb1.2 huwa inakuwepo kila baada wa msimu kuisha nahisi..
 
Hahaha 😆 😂
1. Wanaogopa update za mara kwa mara.
2.simu zao hazi support game
3.hakuna kucheza offline huku ni online tuu🤣
▫️ndo maana wanasema DLS ni bora ila ukweli haupingikii eFootball ni motoo🔥🔥🏃‍♂️🏃‍♂️🤣👐
Sizitaki mbichi hizi. DLS haingii kwa e football ila kutokana sababu hizo hapo juu wengi linawashinda.
 
Screenshot_20231113_100323_eFootball.jpg
 
Back
Top Bottom