Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 337
- 753
Napenda kutumia autopick sababu inafanya uchaguzi sahihi na kuongezea nguvu kikosiHuwa napanga, ila Kuna mda nlichange formation nikatumia hiyo autopick players.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda kutumia autopick sababu inafanya uchaguzi sahihi na kuongezea nguvu kikosiHuwa napanga, ila Kuna mda nlichange formation nikatumia hiyo autopick players.
Mkuu mimi imeniuma game ya pili nilikuwa nahesabu draw ghafla nikasikia naitwa nje ile kuitika tu likawa kosa la jinai kuja kukaa sawa nikashindwa zuia chuma ya pili kambani 😂Uzembe wangu
Unazuia na kushambulia vizuri mkuu, ukicheza hili game unajikuta unaanza kupunguza kulalamika makosa wanayofanya wachezajiKweli but Kuna mda sio muhimu,huwa namtamani villa😋
Kweli kabisa mkuu😂 naona Leo nimecheza ovyo sana, Jana nilikuwa friendly na kikosi kina 3174 nliwin moja na drow moja nyingine nikapokea 5g kwa 1 but noipiga game la uhakika.Unazuia na kushambulia vizuri mkuu, ukicheza hili game unajikuta unaanza kupunguza kulalamika makosa wanayofanya wachezaji
Hivi uwa unacheza hivyo hivyo bila defensive midfielder?
Hongera mkuu kwa kufika division 3, ngoja nichange karata zangu vizuri nianze kucheza tena hiyo ligi.View attachment 3230317
Vikosi vya huku hatari makipa wanadaka Hadi dhambi😂🙌🏿
Mwanzo nilikimbia sababu wanakanyaga sana boli wale watu ila sasahivi ntakomaa nao 😂Anza mkuu sema ndo usikate tamaa.
Kuna jamaa division 1 nilicheza nae mechi 2, game ya kwanza nilimfunga 3-2 na game ya pili akanifunga 0-1 na ndiye aliyeanza kunipa mzuka nirudi kucheza hiyo ligi.Ni kama mm, ila ukikaza tunapita tu
Kuna jamaa division 1 nilicheza nae mechi 2, game ya kwanza nilimfunga 3-2 na game ya pili akanifunga 0-1 na ndiye aliyeanza kunipa mzuka nirudi kucheza hiyo ligi.
Ngoja nianze kupambana 💪View attachment 3231783
Kikubwa kutokata tamaa. Si wengine tia maji lakini tunaforce hivyo hivyo division 1