eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Unazuia na kushambulia vizuri mkuu, ukicheza hili game unajikuta unaanza kupunguza kulalamika makosa wanayofanya wachezaji
Kweli kabisa mkuu😂 naona Leo nimecheza ovyo sana, Jana nilikuwa friendly na kikosi kina 3174 nliwin moja na drow moja nyingine nikapokea 5g kwa 1 but noipiga game la uhakika.
 
Hili game tangu wabadili kutoka PES to efootball na mm nikaachana nalo mana nili download efootball kila nikicheza naona halinivutii kama pess, kule pes ilikuwa inanivutia graphics zake, wachezaji ni vilevile na kikubwa zaidi walipoacha kutumia pspp ikawa ndiyo mwisho wangu.
 
IMG-20250206-WA0078.jpg

Hawa jamaa wameamua kuwa wanacheza mpaka ligi aisee.
 
Back
Top Bottom