Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Umeona kikosi changu lakin 😃Tujitahidi kucheza events update coin za kununua wachezaji wazuri na kupata free players.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona kikosi changu lakin 😃Tujitahidi kucheza events update coin za kununua wachezaji wazuri na kupata free players.
Tangu nimedownload E football sijalichezaUnanishawishi, ninalo ila kucheza mara moja moja sana
Yaani we kweli kibonde, appearance 1000 goli 1700.View attachment 3237247
Dream league Raha sana
Angalia wachezaji wangapi wana 1000+Yaani we kweli kibonde, appearance 1000 goli 1700.
akati mi appearance 150 ali kuwa na goli zaidi ya 300+
NionesheNikuoneshe changu😂
Dls nimelisahau napamban na E football...Uwe unacheza ndo kosi linakuwa
Hapo mbele Nina mcn, Messi, Ronaldo, Neymar .Kuna mshikaji anacheza hili, Ronaldo msimu anafika goli 115
Bado kibonde tu, watatu ndo hawana. Mi mchezaji kufunga goli 12 kawaida.Angalia wachezaji wangapi wana 1000+
Duh account mbili zote vikosi vya hvyo si unataka uue watu mkuu
beki Kuna Marcelo, pique, Ramos, chellini.Hapo ni magoli tuuu 😂😂
Ma jobless pro max ni watu wa kuwaogopa Sana 😂 😂.Duh account mbili zote vikosi vya hvyo si unataka uue watu mkuu
Sema mi naamini game ni skills sio rating za wachezaji.Mbona vidogo cheki hiki ni Cha mshkaji View attachment 3237254