Efootball vs dream league soccer(dls)

Mkuu una kikosi kizuri sana. Ni umecheza ukawapata hao wachezaji au kuna namna unawanunua?
 
Kwa mimi nimecheza game zote ila eFootball ni moja ya game bora sana ikifuatiwa na Fifa mobile hii ni Kwa sababu ya kiwango cha juu cha gameplay realistic , graphic , pia inakupa challenge ya kutosha kuliko DLS.
Kwa sasa wameita eFootball Kwa maana ya electronic football kuwezesha Michezo ya eSport ambayo wachezaji watashindana online Kwa maeneo tofauti duniani. Aisee efootball ipewe maua yake
 
FIfa cjawahi cheza itabid nijrb ck moja
 
Naenjoy sana kucheza football manager games ..now Iko version ya 2023...hapo ni akili na akili tu...ukiwa mbugila mbugila unajikita unafungwa kizembe...nikichezaga najiona kama Mgunda aisee
 
ninalo kweny pc mm waga silali mpk msimu uishe au ni mpk dirish la usajili lifungwe bila hivo nipo macho mpk asbh
liko addict sana unajipa moyo kila mechi
Saiv niko nacoach crystal palace
 
Unalo la mwaka gani aisee!?
 
ninalo kweny pc mm waga silali mpk msimu uishe au ni mpk dirish la usajili lifungwe bila hivo nipo macho mpk asbh
liko addict sana unajipa moyo kila mechi
Saiv niko nacoach crystal palace
Football Manager ni madawa ya kulevya. Hatari kwa afya yako,,,[emoji855][emoji855][emoji855][emoji23][emoji23][emoji23]
 
E football sio la kila mtu mkuuu..kufikia apo tu jibu liko wazi .ukicheza e football huta wahi rudia kucheza dsl tena
 
Attachments

  • Screenshot_20230928_122343_eFootball.jpg
    69.9 KB · Views: 6
Naenjoy sana kucheza football manager games ..now Iko version ya 2023...hapo ni akili na akili tu...ukiwa mbugila mbugila unajikita unafungwa kizembe...nikichezaga najiona kama Mgunda aisee
Football Manager ni madawa ya kulevya. Hatari kwa afya yako,,,[emoji855][emoji855][emoji855][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…