clifford20
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 205
- 307
- Thread starter
- #61
Utadownload kupitia ttorrent au torrent yoyoteNipe link aisee...nimehangaika sana kulipata hilo game..now Niko na la 21 nimeshindwa kulipata la 22 au 23
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utadownload kupitia ttorrent au torrent yoyoteNipe link aisee...nimehangaika sana kulipata hilo game..now Niko na la 21 nimeshindwa kulipata la 22 au 23
Mm nimeshalifuta tyrHii unaweza edit club, mchezaji na Kila kitu kilichopo kwenye game...
Nipe link aisee...nimehangaika sana kulipata hilo game..now Niko na la 21 nimeshindwa kulipata la 22 au 23
UlifanikiwaNipe link aisee...nimehangaika sana kulipata hilo game..now Niko na la 21 nimeshindwa kulipata la 22 au 23
Kwanza hata silioni ..sijui nimesave sehemu Gani kudadekiPp.bingwa
Mm saiv nimepumzika
HahaahKwanza hata silioni ..sijui nimesave sehemu Gani kudadeki
Kweli mkuu..mwenye uu uzi afnye kutengeneza group la efootball ! watu tufinyane View attachment 2803958
alafu msilinganishe io mikatuni yenu na ili game !
Ulivo sirias na maisha hivo kias kwamba hutaki hata kucheza game unaona unapoteza muda lkn huwenda huna hata maisha[emoji23].Mkuu hii kitu unayotangaza hapa ina faida gani kwa watanzania zaidi ya kuwaongezea uraubu na kuwapotezea muda wa kazi?
🤣🤣🤣🤣🤣**** mda wa kazi na mda wa kucheza games huwezi kufanya kazi mda wote mkuu😅😅Mkuu hii kitu unayotangaza hapa ina faida gani kwa watanzania zaidi ya kuwaongezea uraubu na kuwapotezea muda wa kazi?
Umefanya Je? Ebu rudi kusemaDLS mim nmeshashindikana sem simu inayosupport Dls ilipasuka kioo hii nayotumia haisupport DLS, nkinunua mpya Soon nitatak challenge na wew
😂Mkuu karibu DLS nikufundishe ujuzi
Vipi upande wa eFootball mkuu😃 au ndo unaffordable 🤣Kidogo Acha na Mi nijaribu kuandika kitu kuhusu hizi Game?
✍️ Kuhusu Game lipi zuri hapa nitatembea na DLS Kwa 7b zifuatazo.
1. DLS Kwanza ndy game ambalo style ya Uchezaj yake ni nzuri kuliko Game Lolote lile la Mpira upande wa Simu. Kwny DLS kuna Options 3 za kuchezea (A, B & C) plus Logstick(Joystick) hii inakuwa rahisi kuweza kubuni style ya Uchezaji unayotaka (Possession Game au Counter Attack Game) hii ndy inayoleta Utofauti wa Game la DLS na Game nyngne km Efootball ambalo Lenyewe Lina options 4 ( Dash, Through, Shoot & Pass) hapa ss ndy Kuna shida side Moja ya game kuwa na options 4 ni Ngumu sn kucontrol namna unavyotaka kucheza.
2. DLS upande wa Malengo ni Bora zaidi kuliko Game yoyote Ile mfano turudi kwenye DLS22 Lengo la Timu (mchezaji) ilikuwa kuweza kufika Tier 1 au Single digit tier 9 kushuka chini (Online Tournament known as Dream League Live ) Kwa waliocheza watakuwa wanaelewa Ugumu wa kutimiza Lengo ilo la kuwa Tier 1 hiki ndy kilifanya watu wengi kulipenda Game nakujikuta wanatenga muda mwingi wa kucheza Game ili Bila kutimiza Lengo (Base on my experience kwny Group zote za WhatsApp DLS Tanzania nilizokuwepo watu waliokuwa Tier 1 walikuwa ni Wawili tu).
3. Ukija kwenye Challenge Uwepo wa Option ya Friend Match kutumia Code ( Urahisi wa kucheza Mechi za kirafiki na mtu unaewasiliana nae haijarishi mpo sehemu 2 tofauti) hiki ndiyo kinafanya DLS kubwa Bora zaidi upande wa Game zote za Mpira kupitia Simu. Hii option imefanya kuwe na Ligi tofauti tofauti Sana kwenye Magroup ya WhatsApp mpk Uwepo wa Ligi za Pesa ushindani umekuwa Mkubwa Kwa sababu kila mtu anachezesha Timu yake na kuna Prizes Kwa Mshindi.
4. Gharama za upatikanaji wake DLS ni MB 500+ imekuwa affordable Kwa watu wengi zaidi kulingana na Gharama za vifurushi ilivyo wkt Efootball ni GB 2+
Ss Mb 500+ na 2GB+ ipi Unahisi ni AffordableVipi upande wa eFootball mkuu😃 au ndo unaffordable 🤣
Waspokuelewa hapa ndo basi tena....Kidogo Acha na Mi nijaribu kuandika kitu kuhusu hizi Game?
[emoji3578] Kuhusu Game lipi zuri hapa nitatembea na DLS Kwa 7b zifuatazo.
1. DLS Kwanza ndy game ambalo style ya Uchezaj yake ni nzuri kuliko Game Lolote lile la Mpira upande wa Simu. Kwny DLS kuna Options 3 za kuchezea (A, B & C) plus Logstick(Joystick) hii inakuwa rahisi kuweza kubuni style ya Uchezaji unayotaka (Possession Game au Counter Attack Game) hii ndy inayoleta Utofauti wa Game la DLS na Game nyngne km Efootball ambalo Lenyewe Lina options 4 ( Dash, Through, Shoot & Pass) hapa ss ndy Kuna shida side Moja ya game kuwa na options 4 ni Ngumu sn kucontrol namna unavyotaka kucheza.
2. DLS upande wa Malengo ni Bora zaidi kuliko Game yoyote Ile mfano turudi kwenye DLS22 Lengo la Timu (mchezaji) ilikuwa kuweza kufika Tier 1 au Single digit tier 9 kushuka chini (Online Tournament known as Dream League Live ) Kwa waliocheza watakuwa wanaelewa Ugumu wa kutimiza Lengo ilo la kuwa Tier 1 hiki ndy kilifanya watu wengi kulipenda Game nakujikuta wanatenga muda mwingi wa kucheza Game ili Bila kutimiza Lengo (Base on my experience kwny Group zote za WhatsApp DLS Tanzania nilizokuwepo watu waliokuwa Tier 1 walikuwa ni Wawili tu).
3. Ukija kwenye Challenge Uwepo wa Option ya Friend Match kutumia Code ( Urahisi wa kucheza Mechi za kirafiki na mtu unaewasiliana nae haijarishi mpo sehemu 2 tofauti) hiki ndiyo kinafanya DLS kubwa Bora zaidi upande wa Game zote za Mpira kupitia Simu. Hii option imefanya kuwe na Ligi tofauti tofauti Sana kwenye Magroup ya WhatsApp mpk Uwepo wa Ligi za Pesa ushindani umekuwa Mkubwa Kwa sababu kila mtu anachezesha Timu yake na kuna Prizes Kwa Mshindi.
4. Gharama za upatikanaji wake DLS ni MB 500+ imekuwa affordable Kwa watu wengi zaidi kulingana na Gharama za vifurushi ilivyo wkt Efootball ni GB 2+
We ndo kama mimi mkuu, mimi dls nimeshindwa kabisa kucheza, anyway unatumia id gani fifa mobile?Fifa mobile me ndo nalipenda ila watu awalitaki kwasababu ni online tuu pekee, ila ni kali updates za kutosha graphics za juu na mode of play kalii, DLS nafutaga tu ata kulicheza naonaga alinifurahishi