Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mtangazaji wa Kituo Cha Redio cha CLOUDS FM, Bw. Efraim Kibonde ametoa ''kali ya mwaka'' pale alipojitosa mzima mzima kumsafisha Rostam Azizi kupitia kipindi chake cha Jahazi.
Bw. Kibonde alidai kua watu wanaacha kujadili maadui wa3 wanaojulikana ambao ni Ujinga, maradhi na umasikini wao wanabaki kujadili watu.
Kwa mujibu wa Bw. Kibonde, ni vyema kama kuna mtu anaehisi fulani ni mwizi basi akampeleka mahakamani kuliko kubaki kulalamika pembeni.
My Take;
1>Kibonde apuuzwe tu, kwani anafahamika ni puppet wa mafisadi akitumika kuwasafisha kupitia vipindi vyake Redioni.
2>Kibonde anathibitisha ukilaza wake kwa kuamini kua popote pale, katika mazingira yoyote yale na kwa wakati wowote ule, maadui ni hao watatu tu.
3>Kibode anatumia utetezi wa A-Ch kwamba mwenye ushahidi apeleke mahakamani au TAKUKURU huku akijua fika huko ndiko Rushwa imebobea