Nimepata sehem ya kwenda kesho lol
Mi nakutamania unavojua kupika jamani hadi raha
Farkhina unanifurahishaga hapo tu.....mashaallah. mwanamke jiko
Wewe tena!!!
Karibu sana wii wa mimi.
Mapishi ni kujaribu tu wii!!
Nakumbuka nilikuwa nikitaka kujifunza pishi jipya naandaa mahitaji then najifungia jikoni,nikiharibu namwaga na kesho najifungia tena,hawatajua najifunza nini mpaka siku nikiweza wakutane nacho mezani!!!
Yummy!!!
Shukran ukhti,na hivi kesho ni jumapili!!!!
Ninavyopenda wageni sasa!
Mumpitie na mimi49
Naomba kukaribishwa
Mapishi ni kujaribu tu wii!!
Nakumbuka nilikuwa nikitaka kujifunza pishi jipya naandaa mahitaji then najifungia jikoni,nikiharibu namwaga na kesho najifungia tena,hawatajua najifunza nini mpaka siku nikiweza wakutane nacho mezani!!!
Ntamwambia kabisa shosti ajiandae aje na sauce ya ukwaju mambo yazidi kunoga.....
True Ennie.....ila mie nna kisirani siku nkipika chakula kikiwa tofauti na nnavyotaka nakasirika na sikipiki kwa mda.....lol
Uwiiii!! Umenikumbusha mbali best,wakati najifunza kachori zilivyokuwa zinatawanyika.Nakumbuka wakati najifunza kupika sambusa/samosa..basi nikaandaa vitu vyangu..nikazifunga vizuri nkachemsha mafuta,yalivyopata moto nikaweka sambusa zangu,looh zikaanza kufunguka,mchanganyiko wote ukapanda juu...nililiaje? Kumbe ile chapati ilikuwa pana sana.. Kesho yake nikajaribu tena na tena mpaka nikafuzu
Kila kitu ni kujaribu na kutokata tamaa
Ssssssssss aaaaaaaah
full kujiramba
Mapishi ni kujaribu tu wii!!
Nakumbuka nilikuwa nikitaka kujifunza pishi jipya naandaa mahitaji then najifungia jikoni,nikiharibu namwaga na kesho najifungia tena,hawatajua najifunza nini mpaka siku nikiweza wakutane nacho mezani!!!
Pole.
Mimi nikilipania pishi nakuwa kama nimetia nia na nitalirudia mpaka likubali!
Kama naelekezwa na mtu basi atajuta maana nitampigia simu kila ninapohisi mambo yanaenda kombo!!
Ila kupika raha sana!!
Wewe tena!!!
Karibu sana wii wa mimi.
Uwiiii!! Umenikumbusha mbali best,wakati najifunza kachori zilivyokuwa zinatawanyika.
Shida yangu mie napenda mno kucheka,ukisikia kicheko na niko mwenyewe jikoni ujue mambo yameshaharibika,nitacheka mpaka nitoe machozi ila kesho niajaribu tena!!!
Kutokata tamaa ndio siri kubwa