INAUZWA Eggs Incubators zinapatikana kwa bei nafuu

INAUZWA Eggs Incubators zinapatikana kwa bei nafuu

Incubator ya mayai 120 full automatic. Sasa ipo dukani kwetu. Bei yake ni sh 550,000. Vifaranga kufia kwenye mayai sasa itabaki stori tuu kwa mashine hii. Wahi ujipatie yako kabla hazijaisha.
IMG_20181129_183231.jpeg
IMG_20181129_183407.jpeg
IMG_20181129_183601.jpeg
mini-112-chicken-eggs-incubator-automatic-egg.jpeg
HTB1U512di6guuRjy0Fm7610DXXae.png
IMG_20181129_183256.jpeg
 
Unataka kufuga/kuboresha ufugaji wa kuku lakini upo sehemu ambayo haijafikiwa na umeme wa tanesco?....
Tumekuja na incubator ambazo zinatumia solar, betri na pia umeme wa kawaida. Hii ni incubator ya mayai 48. Bei yake kwa sasa ni sh 350,000 tu. Unaiikosaje kwa mfano.?
Tupigie/sms/whatsapp 0755571604 au 0718106434 na 0783095169
Karibuni sana.
IMG_20190116_140345.jpg
IMG_20190116_140501.jpg
IMG_20190116_140556.jpg
 
Bei zetu kwa sasa ni kama ifuatavyo:
incubator ya mayai 32A ni 240,000
incubator ya mayai 48 ni 350,000
incubator ya mayai 56 ni 420,000
incubator ya mayai 96 ni 490,000
incubator ya mayai 112 ni 530,000
incubator ya mayai 120 ni 550,000
zote ni full automatic na zinatumia umeme+solar/betri
IMG_20190116_140556.jpg
 
Eco Farms Innovatives tunakuletea mashine mpya za kisasa kabisa za mayai 60, 120, 180, 240 na 300. Ni mashine zilizoboreshwa zaidi zinazotumia teknolojia ya kisasa kabisa na zenye ufanisi mkubwa Sana. Pia zinapokea umeme wa kawaida, jua ama betri ya 12v
Incubator ya mayai 60 ni sh 400,000 ya mayai 120 ni sh 600,000 ya mayai 180 ni sh 750,000 ya mayai 240 ni 850,000 na ya mayai 300 ni sh 990,000
Mashine ya mayai 240 na ya mayai 300 Inaweza kuicontrol kwa kupitia smartphone kwa kifaa cha wifi kilichopo kwenye mashine.
Tupo mkabala na shule ya Yusufu Makamba barabara ya Jeshini ukitokea Ubungo External kwenda Tabata Kimanga.
Tupigie 0783 095169 au 0755 571604 na tembelea ukurasa wetu wa
lidow_201971793245541.jpg
lidow_201971793245541.jpg
lidow_201971793245541.jpg

lidow_201910175810299.jpg

lidow_20191018536490.jpg

lidow_2019101815568.jpg

IMG_20190929_122033.jpg
IMG_20190929_104206.jpg
[/URL]
 
Egg incubator ya mayai 180, bora na ya kiwango cha uhakika.
Kwa nini undelee kupata hasara ya mayai?
Ongeza kipato chako kwa kufanya ufugaji wa kisasa na wa tija?

Ni mashine ya kisasa iliyobuniwa kutoa majibu ya changamoto za utotoleshaji wa vifaranga. Vifaranga hawatafia tena kwenye mayai sababu ya unyevu mdogo. Ina "humidifier" inayoongeza unyevu bila kuathiri kiwango cha joto.

Utaipata Eco Farms Innovatives kwa bei ya ofa ya sh 720,000 tu.
Tupigie/whatsapp 0783095169 au 0755571604.
 
Pata Incubator bora kabisa za sola na umeme pamoja na vyombo vya kukuzia vifaranga bure.

Zina ufanisi mkubwa, zinatumia umeme kidogo sana, full automatic na zina mfumo rafiki sana kutumia.

Zipo za mayai 60, 120, 180, 240, na 300.
Sasa utazipata kwa bei ya ofa. Incubator
Ya mayai 60 ni 395,000 ya mayai 120 ni sh 570,000 ya mayai 240 Ni sh 820,000 na ya mayai 300 Ni sh 950,000.

Wasiliana nasi kwa namba 0783095169 au 0755571604 au 0718106434

Tupo Dar maeneo ya Ubungo external tunatazamana na shule ya msingi Makuburi Jeshini barabara ya makuburi.
IMG_20200109_163706_375.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kanda ya Ziwa miikoa ya Mwanza na jirani Incubator hizo zinapatikanaje
 
Fikiri kila mwezi unapata vifaranga 27-34 ndani ya miezi 6 utakuwa na kuku wasiopungua 180.

Inatumia umeme kidogo sana 35W sawa na unit 0.84 kwa siku.

Inatumia sola, betri ya 12v au umeme wa kawaida.

Kwa mfumo wa sola utahitaji sola betri ya kuanzia N70 na sola panel ya kuanzia 100W.

Ni rafiki sana kwa mazingira yasiyo na umeme wa uhakika.

Umeme wa AC ukikatika inajiswitch kwenye umeme wa sola/betri automatically.

Ina mfumo rafiki na tayari imeshafanyiwa settings nzuri za joto na unyevu.

Inageuza mayai yenyewe.

Inatotolesha mayai ya kuku, bata, kanga, njiwa, kware nk

Ina ufanisi wa asilimia 95%. Waranti miezi 6.

Jipatie sasa kwa bei ya ofa ya tsh 200,000 tu. Mikoani tunatuma kwa uaminifu na kwa wakati.

Tupo mkabala na shule ya msingi Yusuf Makamba barabara ya Jeshini ukitokea Ubungo external kuelekea Tabata Kimanga.

Tupigie: 0783095169 au 0755571604 au 0718106434

IMG-20191220-WA0031.jpeg
PSX_20191101_104332.jpeg
PSX_20191101_105117.jpeg
IMG_20200317_141613.jpeg
IMG_20200320_165323_888.jpeg
IMG_20191114_170647_618.jpeg
IMG_20200313_092812_629.jpeg
IMG_20200313_093132_175.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Incubator Ni "stress free" ona kinachotokea ninapozima kwenye switch. Incubator inaendelea kubaki ON kwa kupokea umeme toka kwenye betri automatically. Hivyo kukuhakishia mayai kuwa salama muda wote wa utotoleshwaji.

Huyu ni mmoja wa wateja tukimsaidia kufanya installation. Karibu upate huduma na ushauri bora kwetu ili upate matokeo bora zaidi.

Tuwasiliane kwenye namba zetu 0783095169 au 0755571604.

Tunapatikana facebook na instagram kwa jina la "Eco Farms Innovatives".

Ofisi zetu zipo barabara ya makuburi tunatazamana na shule ya msingi Makuburi Jeshini ukitokea ubungo external kwenye mataa kwenda tabata kimanga/maji chumvi.
IMG_20200317_141622.jpeg
IMG_20200317_133449.jpeg
IMG_20200317_141547.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfugaji mdogo au mtu anayetaka kuanza ufugaji wa kuku, bata, kanga, bata bukini au njiwa na kware Incubator ndogo ya mayai 36 ndio chaguo lako sahihi la kuanzia.

Kwanza ni ndogo na bei yake ni nafuu hivyo kuweza kujua ufanisi wa mradi wako kabla ya kufanya uwekezaji mkubwa zaidi.

Pili Inatumia umeme kidogo sana watts 35. Hivyo ni inafaa kabisa maringira yasiyo na umeme wa uhakika na tanesco. Hasa kwenye mfumo wa sola.

Tatu ni full Automatic na inageuza Mayai yenyewe na tayari imeshasetiwa viwango sahihi vya joto na unyevu vinavyotakiwa kwa ndege tofauti.
Bei ya Incubator ya Mayai 36 ni sh 200,000 tu. Ya mayai 64 ni 390,000 na ya mayai 128 ni sh 570,000
Wasiliana nasi kwa namba 0783095169 au 0755571604
Tupo maeneo ya Ubungo External barabara ya makuburi tunatazamana na shule ya msingi Makuburi Jeshini baada tu ya sheli mpya ya mafuta iliyopo kwenye kona.
PSX_20200411_121523.jpg
 
Sinatoka wapi mkuu..China au mnaunda wenyewe
 
Back
Top Bottom