Urban86
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 279
- 130
- Thread starter
- #41
Ndio bado zipo.. mkuu bado unazo hizo incubator za solar?
Sent from my Knight 2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio bado zipo.. mkuu bado unazo hizo incubator za solar?
Nahitaji hii Incubator mkuu, naipataje?Fikiri kila mwezi unapata vifaranga 27-34 ndani ya miezi 6 utakuwa na kuku wasiopungua 180.
Inatumia umeme kidogo sana 35W sawa na unit 0.84 kwa siku.
Inatumia sola, betri ya 12v au umeme wa kawaida.
Kwa mfumo wa sola utahitaji sola betri ya kuanzia N70 na sola panel ya kuanzia 100W.
Ni rafiki sana kwa mazingira yasiyo na umeme wa uhakika.
Umeme wa AC ukikatika inajiswitch kwenye umeme wa sola/betri automatically.
Ina mfumo rafiki na tayari imeshafanyiwa settings nzuri za joto na unyevu.
Inageuza mayai yenyewe.
Inatotolesha mayai ya kuku, bata, kanga, njiwa, kware nk
Ina ufanisi wa asilimia 95%. Waranti miezi 6.
Jipatie sasa kwa bei ya ofa ya tsh 200,000 tu. Mikoani tunatuma kwa uaminifu na kwa wakati.
Tupo mkabala na shule ya msingi Yusuf Makamba barabara ya Jeshini ukitokea Ubungo external kuelekea Tabata Kimanga.
Tupigie: 0783095169 au 0755571604 au 0718106434
View attachment 1394706View attachment 1394707View attachment 1394708View attachment 1394709View attachment 1394711View attachment 1394713View attachment 1394714View attachment 1394715
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazo za mayai zaidi ya 50?Tuwasiliane 0783095169 ili kuona namna rahisi ya kufikia sehemu ulipo.
Bei zao sio za kibiashara Bali kuumizanaIla bei zenu mmmh
Incubator ya mayai 36View attachment 1730390
Incubator ya mayai 36 inaweza kutunza joto mpaka masaa 2 baada ya umeme kukatika. Uzuri mwingine hii unaweza kuunganisha umeme wa tanesco na wa sola kwa wakati mmoja. Hapo itatumia wa tanesco tu. Ukikatika mashine inajiswitch kutumia wa sola hapohapo.Mkuu ni kwa mda gani umeme ukikatikaayai yanaweza yakaharibika? Na mfumo wa solar kama njia mbadala in shi ngapi?