Fikiri kila mwezi unapata vifaranga 27-34 ndani ya miezi 6 utakuwa na kuku wasiopungua 180.
Inatumia umeme kidogo sana 35W sawa na unit 0.84 kwa siku.
Inatumia sola, betri ya 12v au umeme wa kawaida.
Kwa mfumo wa sola utahitaji sola betri ya kuanzia N70 na sola panel ya kuanzia 100W.
Ni rafiki sana kwa mazingira yasiyo na umeme wa uhakika.
Umeme wa AC ukikatika inajiswitch kwenye umeme wa sola/betri automatically.
Ina mfumo rafiki na tayari imeshafanyiwa settings nzuri za joto na unyevu.
Inageuza mayai yenyewe.
Inatotolesha mayai ya kuku, bata, kanga, njiwa, kware nk
Ina ufanisi wa asilimia 95%. Waranti miezi 6.
Jipatie sasa kwa bei ya ofa ya tsh 200,000 tu. Mikoani tunatuma kwa uaminifu na kwa wakati.
Tupo mkabala na shule ya msingi Yusuf Makamba barabara ya Jeshini ukitokea Ubungo external kuelekea Tabata Kimanga.
Tupigie: 0783095169 au 0755571604 au 0718106434
Sent using
Jamii Forums mobile app