eGovernance: Kenya vs Tanzania

eGovernance: Kenya vs Tanzania

Tena Kenya iliboresha zaidi sekta hiyo kwa kubuni 'individualised IT support' kwenye kila gatuzi(county) na sub-counties. Kupitia Huduma Centres, ambapo kila raia anaweza akapata huduma zote za kiserikali za e-government. Kutoka birth certificates, vyeti vya shule, marriage certificates, licences za kibiashara, kufungua kampuni, tax returns, pasipoti hadi na certificate za good conduct kutoka kwa vitengo vya usalama n.k, n.k. Yote hayo kutoka kwa point moja kupitia e-government bila usanii usanii wa mafaili au red tape zozote zile za kiserikali. Study heaps praise on Huduma Centres
 
Capture.PNG
 
Mbna huaga unapenda kuwavua nguo hawa jamaa...
Waonee hata kahuruma basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa 'video confrencing' inahusiana vipi na e-governance? Platform za e-government kama e-visa, e-citizen zimekuwepo Kenya tangia mwaka wa 2015. Wakenya wamekuwa wakilipia na kupata huduma zote kutoka kwa serikali mitandaoni kwa miaka kadhaa sasa. Acheni ushamba. eCitizen - Gateway to All Government Services
Tena Kenya iliboresha zaidi sekta hiyo kwa kubuni 'individualised IT support' kwenye kila gatuzi(county) na sub-counties. Kupitia Huduma Centres, ambapo kila raia anaweza akapata huduma zote za kiserikali za e-government. Kutoka birth certificates, vyeti vya shule, marriage certificates, licences za kibiashara, kufungua kampuni, tax returns, pasipoti hadi na certificate za good conduct kutoka kwa vitengo vya usalama n.k, n.k. Yote hayo kutoka kwa point moja kupitia e-government bila usanii usanii wa mafaili au red tape zozote zile za kiserikali. Study heaps praise on Huduma Centres
[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini hizi monitor tunaziona tu kwa boardroom za wakubwa?
Leta picha zikiwa ndani ya korti kwenye zinahitajika, ama zikitumika na majaji.
Hapa tunaona tu purpose yake ni kutangazwa na media, lakini hazisaidii kwenye kesi yoyote.

Kenya Judiciary haitumii video conferencing ili kufurahisha wajinga. Inaitumia ili kuendeleza kesi na kupeana amri.

Alafu, it beats purpose kama video conferencing inafanywa kwa chumba kilicho jaa watu, kama sababu ni kuzuia watu kujumuika.
Hapa Kenya jaji anaendeleza kesi kutoka ofisi yake ama nyumbani kwake.

Our video Judiciary video conferencing is functional, not for show.

Leta picha ama video kama hizi.

Bado ywatafuta [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom