pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sasa 'video confrencing' inahusiana vipi na e-governance? Platform za e-government kama e-visa, e-citizen zimekuwepo Kenya tangia mwaka wa 2015. Wakenya wamekuwa wakilipia na kupata huduma zote kutoka kwa serikali mitandaoni kwa miaka kadhaa sasa. Acheni ushamba. eCitizen - Gateway to All Government Services