Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Anaolewa na nan kwanza tumjue Huyo muoaji yawezekana nae mambo yke yuko km salama salama
Kay1.jpg
 
Mbona huyo mwanaume ni Mzuri zaidi ya Salam? Halafu katokea Mombasa...... Hahahaah

Ngoja niendelee na upanuzi wangu wa kiwanda changu hapa home, na Cherehani 2 nimeongeza moja nimefanya upanuzi wa kutosha, kuanzia juma3 nitafanya usahili, natoa ajira kwa maelfu ya member wa hapa jf,
 
ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako,
magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

jina lake Hussein Khamiss

Kay1.jpg
Mada zako hazina uhalisia.
 
Back
Top Bottom