Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi kitu cha ajabu sana yaani unaweza ukamwona mtu anaishi kiselasela lakini akiwa na mpenzi wake anajibebisha haswaa sio kama yule uliemzoeaSiamini yule Dada anavyo jifanya msela, ataweza kulala na kanga moko kweli
Bikira ipi tena,,..??mi bado mdogo naitunza bikira yangu
Mkuu huwezi japo kuwa na majina kama mfano?Ila taja wale maarufu sio wa mtaani kwako maana hatuwajuiyale mapaka shume wa waume za watu
kwaninii
Hahahaaa! Mimi nishajua wanachoenda kufanyaKama Mombasa sishangai..wanajua wanachoenda kufanya
Mada zako hazina uhalisia.ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako,
magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!
jina lake Hussein Khamiss
![]()