Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Mbona huyo mwanaume ni Mzuri zaidi ya Salam? Halafu katokea Mombasa...... Hahahaah

Ngoja niendelee na upanuzi wangu wa kiwanda changu hapa home, na Cherehani 2 nimeongeza moja nimefanya upanuzi wa kutosha, kuanzia juma3 nitafanya usahili, natoa ajira kwa maelfu ya member wa hapa jf,
 
ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako,
magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

jina lake Hussein Khamiss

Mada zako hazina uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…