Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwake ila kaolewa umri mkubwa,maana nakwambia
Ulitaka ajioe Mwenyewesiku zote alikuwapo wapi
Weka picha tumjueni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako,
magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!
hahahahaa duhSiamini yule Dada anavyo jifanya msela, ataweza kulala na kanga moko kweli
kabisaMwacheni tu aolewe.
Ameongelewa vibaya sana.
Inawezekana akawa bikra? Naona watu wameshangaa sana habari hii!Siamini yule Dada anavyo jifanya msela, ataweza kulala na kanga moko kweli