Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako,
magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

jina lake Hussein Khamiss

Kay1.jpg
Sipati picha jamaa akimmimba
 
Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

Jina lake Hussein Khamiss

Kay1.jpg
Jamaa kama nimepiga nae Kitabu pale Tudor Boys Sec huyu..
 
Back
Top Bottom