Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

Jina lake Hussein Khamiss

Kay1.jpg
Eti unasemaaaaa? Bado madam Litha.
 
Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

Jina lake Hussein Khamiss

Kay1.jpg

Mbona jamaa kasimama lakini kama miguu haijakaza [emoji102]
 
Ni kweli anaolewa mwezi ujao na siku ya posa ilishapita zamani,
Anaolewa na mwanaume wa kenya mombasa, nakutakia majukumu mema kwa ndoa yako.
Magume gume yamebaki mtaani khaaa!!!!!

Jina lake Hussein Khamiss

Kay1.jpg
Huyu sharp atamuweza salama jabir kweli, ilitakiwa mwanaume Wa kazi akipiga akimpiga shimo ampige kweli mpaka akumbuke kumbe yeye no mwanamke sio msela
 
Yaani siwezi kulala bila nguo na Salama
Mliosema Salama Msagaji... Mmeumbuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujawahi kusikia watu wanaitwa bisexual? Ukiwa na demu kama huyu unaweza kufaidi three some yaani wewe tu
 
Salama ajawahi kusema kama hataki kuolewa, yawezakana alikua hajapata mchumba.
Lakini leo kapata mchumba tumpe saport aolewe,sioni tatizo la yeye kuolewa.
La sivo mtabaki kuumia na kusema mambo ambayo yeye ajawahi kufikiria hata siku moja.
Salama mimi nakutakia maisha mazuri kwenye ndoa yenu,mungu awatangulie.
Ikiwezekana unipe kadi niweze kuudhuria kwenye arusi yenu nishuhudie uzuri wako kwa mumeo siku hiyo.
Huyu Msukuma kasha kula sana mzingo pale.....
fid.jpg
 
Back
Top Bottom