Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

Eheee makubwa!!!!Salama Jabiri anaolewa!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi comment sasa[emoji13] [emoji13] [emoji13] .
 
Jamaa asijiamini sana. Siku anaweza kugeuziwa kibao na "Athumani Kichwa Wazi"
Kweli Mkuu, jamaa awe na tahadhari kubwa anaweza jikuta asubuhi anaamka akakuta Salama kashafanya yake [emoji23] [emoji23]
 
Mpka wamefikia hatua ya kuona that's means jamaa kampiga dyudyu Mara kibao Tu Na salama amesha adopt
 
Kama sijakosea, huyu jamaa kwa Picha hapo juu ni raia wa Africa ya kusini na ni mwigizaji wa tamthiliya maarufu kupitia SABC 1 inaitwa Uzalo na anaitwa Kay Sibiya
 
Sijui ataanzaje kumvua chup.
.....kwa mkwara !
Kay1.jpg
 
Alishawahi kuolewa na mtoto anaye.....huku kwetu ukidivorse unaitwa mjane!
 
Back
Top Bottom