Eid Mubarak wanaJF wa hapa Siasani. Je kati ya Shetani na Wanasiasa ni nani baba wa uongo?

Eid Mubarak wanaJF wa hapa Siasani. Je kati ya Shetani na Wanasiasa ni nani baba wa uongo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Uwongo wa wanasiasa hata mtoto mchanga anaujua

Nitajieni uwongo wa shetani

Eid Mubarak 🙏😁
 
No reforms no election

#unfollow chawa wote
 
Back
Top Bottom