Eid Mubaraq to all Jf users

Eid Mubaraq to all Jf users

Assalam alayqum !!

Eid Mubaraq kwa wana Jamii Forums wote hasa hasa waislam, tumefunga vizuri kwa amani, wale waliopata matatizo, Allah atawaaf inshallah mambo yatarudi mahala pake.

Msisahau zaqatul fitr jaman kuinyanyua saum yako kwa wale watakaojaaliwa

Half american
Mtoto halali na hela
Intelligent businessman
Glenn

mkuje mkuje tufurahi pamoja,

dronedrake kama umeacha mchezo wako uje ule ubwabwa na wooooote niliowasahau karibuni tufurah pamoja.
Kwanza nimefurahi kunikumbuka na kunialika, I wish ningeweza kuja but ndio hivyo niko mbaaali.
Nakutakiwa wewe na ndugu zetu waislam wote Eid fitr njema, mfurahie sikukuu yenu kwa amani kabisa.

Bila kuwasahau
faiza foxy
The Boss
Na wengine wote
 
Tupe location
Mashangazi wawepo
b829371f-9979-416a-aa81-fa6f842ab1f5.jpg
 
Back
Top Bottom