Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nimefurahi kunikumbuka na kunialika, I wish ningeweza kuja but ndio hivyo niko mbaaali.Assalam alayqum !!
Eid Mubaraq kwa wana Jamii Forums wote hasa hasa waislam, tumefunga vizuri kwa amani, wale waliopata matatizo, Allah atawaaf inshallah mambo yatarudi mahala pake.
Msisahau zaqatul fitr jaman kuinyanyua saum yako kwa wale watakaojaaliwa
Half american
Mtoto halali na hela
Intelligent businessman
Glenn
mkuje mkuje tufurahi pamoja,
dronedrake kama umeacha mchezo wako uje ule ubwabwa na wooooote niliowasahau karibuni tufurah pamoja.
Mimi naomba package yangu ya Eid kwenye tashriff 😅kinondoni mimi?? hapana
Si umeamua kukimbia 😁😂😂😂😂
Drone atawakilishaningekua na huo uwezo ningewaalika mje kama wote lakini wachache watawawakilisha
kwan we pande zipidaah, ni Tanga mzee
sawahad akifika umechacha
niko Dondwe, mwaliko Tangakwan we pande zipi
Naomba ije mapema ili nione kama itaweza ilipiwe ipate siti kabisa, Darlin anasemaga siti ya mbele kabisayan nikupikie bado nikulipie ukufikie nitakutumia picha pm huko