dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
huku bilabila, ramani imekuja ghafla,Ndio kutakua na uchele hapo vipi anaanguka Ng'ombe au Ndama ?
ngoma inasoma Tanga kwa Retired
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huku bilabila, ramani imekuja ghafla,Ndio kutakua na uchele hapo vipi anaanguka Ng'ombe au Ndama ?
Ndio unaouogopa au kuna mwingine?hahahaha naona umemalizia sentesi
jirani kabisa na Ngobedi-BDondwe ni wapi nchi hii
Mimi ni miongoni mwa uliowasahau. Ila nimepokea mwaliko 😅😅Assalam alayqum !!
Eid Mubaraq kwa wana Jamii Forums wote hasa hasa waislam, tumefunga vizuri kwa amani, wale waliopata matatizo, Allah atawaaf inshallah mambo yatarudi mahala pake.
Msisahau zaqatul fitr jaman kuinyanyua saum yako kwa wale watakaojaaliwa
Half american
Mtoto halali na hela
Intelligent businessman
Glenn
mkuje mkuje tufurahi pamoja,
dronedrake kama umeacha mchezo wako uje ule ubwabwa na wooooote niliowasahau karibuni tufurah pamoja.
Ili nisikupotee 😄Kwa kweli
Kama ukienda nitakaa siti ya nyuma yako😂😂
Ili nisikupotee [emoji1]
😅 nshakuwa mpiganiaji wa maakuli mtetezi wa wanyonge[emoji23][emoji23][emoji23]
Amna ili unipiganie pilau na biriani
Ndio kitajulikana hiyo kesho kwenye mpambano😅 nshakuwa mpiganiaji wa maakuli mtetezi wa wanyonge
Sawa ujiandae mapema usisahau zana za kazi 🥑🌶🥄🍽Ndio kitajulikana hiyo kesho kwenye mpambano
Mashiashia sio waislamu wa kwelikwa hio
Tutalala huko huko?Assalam alayqum !!