Eid Mubaraq to all Jf users

Eid Mubaraq to all Jf users

Assalam alayqum !!

Eid Mubaraq kwa wana Jamii Forums wote hasa hasa waislam, tumefunga vizuri kwa amani, wale waliopata matatizo, Allah atawaaf inshallah mambo yatarudi mahala pake.

Msisahau zaqatul fitr jaman kuinyanyua saum yako kwa wale watakaojaaliwa

Half american
Mtoto halali na hela
Intelligent businessman
Glenn

mkuje mkuje tufurahi pamoja,

dronedrake kama umeacha mchezo wako uje ule ubwabwa na wooooote niliowasahau karibuni tufurah pamoja.
Mimi ni miongoni mwa uliowasahau. Ila nimepokea mwaliko 😅😅
 
Minal mufaidhina...

Kama kuna member yupo mbeya,tunduma,makambako,mafinga,njombe,iringa au songea na anapenda tufurahi pamoja....aseme hapa namfuata halafu tusherehekee pamoja..

NB:Gharama zangu...
 
Assalam alayqum !!

Eid Mubaraq kwa wana Jamii Forums wote hasa hasa waislam, tumefunga vizuri kwa amani, wale waliopata matatizo, Allah atawaaf inshallah mambo yatarudi mahala pake.

Msisahau zaqatul fitr jaman kuinyanyua saum yako kwa wale watakaojaaliwa

Half american
Mtoto halali na hela
Intelligent businessman
Glenn

mkuje mkuje tufurahi pamoja,

dronedrake kama umeacha mchezo wako uje ule ubwabwa na wooooote niliowasahau karibuni tufurah pamoja.
Tutalala huko huko?
 
Back
Top Bottom