The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Wewe nakuruhusu...ila mababu dizaini ya Roya.... Ni marufuku kumsalimia mjukuu wangu.
Hawa ni kutowakaribisha kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nakuruhusu...ila mababu dizaini ya Roya.... Ni marufuku kumsalimia mjukuu wangu.
Digidigi watamu sana....:thumb:...hata kwa pilau..
Doh....wewe sio ndugu yangu tena?
Wewe nakuruhusu...ila mababu dizaini ya Roya.... Ni marufuku kumsalimia mjukuu wangu.
:rip::rip: Roya
Mimi sio babu bana....nimepata habari kwamba mjukuu anataka wasio mababu...:hippie::hippie:
Digidigi anapomwombea simba kifo...!
Simba yupi, labda kama ni simba pori simba gani anakula marando
Namtafuta mama b...u seen her?
Eid ni sherehe ya nini?
Yupo mbona nilikuwa nae asubuhi
Yupo mbona nilikuwa nae asubuhi
Nilikuwa kwa wafungwa wa magereza ya kingolwira pale tukiwapa eid yao nao wasikate tamaa ya maisha
Namtafuta mama b...u seen her?
Orait...muulize lile darasa letu linaendelea lini tena?
wengine tulipata muda wakupumzika na kufanya mazoezi ya hiari ya kutosha kabisa...ckumbuki kama nilikula kwa jinc nilivyokuwa busy na rumba.
Nipo ma dear darasa litaanza jumamosi saa moja kamili jioni
Hivi Babu hakuna JF ya jirani? maana naona waJF wote hapa ni Mababu atha mi thi thitaolewa??