Eid ulisheherekea vipi?

Eid ulisheherekea vipi?

:thinking:

avatar23521_1.gif
 
Mimi sio babu bana....nimepata habari kwamba mjukuu anataka wasio mababu...:hippie::hippie:


Digidigi anapomwombea simba kifo...!

Simba yupi, labda kama ni simba pori simba gani anakula marando
 
Nilikuwa kwa wafungwa wa magereza ya kingolwira pale tukiwapa eid yao nao wasikate tamaa ya maisha
 
Digidigi anapomwombea simba kifo...![/QUOTE]

Digi dig is no longer exist
 
wengine tulipata muda wakupumzika na kufanya mazoezi ya hiari ya kutosha kabisa...ckumbuki kama nilikula kwa jinc nilivyokuwa busy na rumba.

Nyamayao nakuaminia kwa kulisakata rumba
 
Hivi Babu hakuna JF ya jirani? maana naona waJF wote hapa ni Mababu atha mi thi thitaolewa??

Wala hakuna haja ya JF ya jirani....vijana tunaoheshimika kwa kina babu tupo tumejaa tele MJ1..so worry not

Ivi dawa na hangova ni nini?
 
Back
Top Bottom