Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Kati ya hayo, moja wapo yaweza kua ni jibu sahihi au hata zaidi. Kwasasa mke wangu akiniudh chochote, pressure inapanda, na vidonda vya tumbo vuaamka.
Stress anazonipatia hata kwenye utafutaji pesa sipati hivyo huenda ndoa ni ubatili, walioimudu wanatumia akili na mimi sina akili.
Huenda kwenye ndoa hutakiwi kutumia akili nyingi ya ku analyze kila kitu.
Yawezekana ndoa su ubatili ila niliempata ndio hastahili kwangu.
Huu ndio muandiko wangu wa mwisho kuhusu mazila ndoa yangu. Kwasasa ni either ndoa ivunjike au nipate mchepuko wa kunituliza mawazo, pressure na ulcers vitaniua kwa stress za huyu mwanamke.
Most likely nitavunja ndoa.