Ila wewe una akili za kitoto sana, sijui kwann unashindwa kuprocess vitu simple kuelewa uhalisia.
Hili swala la kusema mwanaume ndie anahitaji ndoa kuliko mwanamke kwann unapenda sana kuliamini? [emoji848]
Sasa huoni huyo anaelalamika hapo ni kwasababu anamjali mkewe na anataka utulivu ila mke anatake advantage ya huo ukarimu na kumtreat vibaya anavyotaka? [emoji848]
Unahisi anakwenda kutafuta mchepuko ili amfurahishe mkewe au apate kile ambacho mkewe hajakizingatia kumpatia kama mume?
Unajua mwanaume anatafuta nini kwenye ndoa na mwanamke anatafuta nini kwenye ndoa na kwann ndio ipo? [emoji848]