Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo hayakimbiliwi mkuuDaaah...
Mnatutaziza sana sisi tunaofikiria kuingia uko asee
Mshauri afanyeje aache au?Angalia usijiue tu maana wanaume ni wachache na mnazidi kupungua kila uchao
Amuache ndioMshauri afanyeje aache au?
Ameona isiwe tabu.😀😀😀
Inaonekana anampenda awez muacha.Amuache ndio
Kama ni hivyo kifo kipo karibu naeInaonekana anampenda awez muacha.
Tangu lini dini inaweza kukufanya mjinga acheni upotoshaji nyieHapa Duniani Kuna vitu viwili ukitaka kukubaliana navyo Ni lazima uwe mjinga la sivyo ukitumia akili hata kidogo tu lazima utashindwana navyo;
1.Ndoa
2.Dini
🙆Matatizo hayakimbiliwi mkuu
Kati ya hayo, moja wapo yaweza kua ni jibu sahihi au hata zaidi. Kwasasa mke wangu akiniudh chochote, pressure inapanda, na vidonda vya tumbo vuaamka.
Stress anazonipatia hata kwenye utafutaji pesa sipati hivyo huenda ndoa ni ubatili, walioimudu wanatumia akili na mimi sina akili.
Huenda kwenye ndoa hutakiwi kutumia akili nyingi ya ku analyze kila kitu.
Yawezekana ndoa su ubatili ila niliempata ndio hastahili kwangu.
Huu ndio muandiko wangu wa mwisho kuhusu mazila ndoa yangu. Kwasasa ni either ndoa ivunjike au nipate mchepuko wa kunituliza mawazo, pressure na ulcers vitaniua kwa stress za huyu mwanamke.
Most likely nitavunja ndoa.