Either ndoa ni ubatili ila watu wanafanya siri, au mimi natumia sana akili au sina akili, au niliempata hastahili

Hapa Duniani Kuna vitu viwili ukitaka kukubaliana navyo Ni lazima uwe mjinga la sivyo ukitumia akili hata kidogo tu lazima utashindwana navyo;

1.Ndoa
2.Dini
Tangu lini dini inaweza kukufanya mjinga acheni upotoshaji nyie
 
Hawa ndio wanaume yani akivurugwa na mke ataenda tena kutafuta mchepuko ndio amliwaze ambaye naye ni mwanamke, halafu wanadai eti wao hawahitaji sana ndoa wanaohitaji zaidi ndoa ni wanawake, wakati wanawake hata wakivurugwa na wanaume wana uwezo wa kutafuta furaha kupitia watu wengine au vitu vingine tu
 
why are you running
why are you running
why are you running??
 
 
Kuhusu kuchepuka ni sawa lakini kuvunja ndoa si sawa hasa mkiwa na wàtoto. Nadhani umempa nafasi kubwa sana moyonimwako. Jaribu kumchukulia kawaida na uwe na mchepuko anaekutuliza moyo. Kwa kawaida kuna mapenzi na ndoa. Mara nyingine huwezi kupata mapenzi kwenye ndoa anayapata Kwa mchepuko lakini kila kitu kiwe na sehemu yake kwenye ndoa unajenga familia na Kwa mchepuko unatafta penzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…