Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Nadhani suala muhimu ni kwamba hakuridhishi achana na mambo ya baada ya muda anaejaculate sio muhimu sana, cha muhimu hapo ni ushirikiano, yaani kabla ya penetration kwanza akuchezee kwa mikononi mpaka uwe tayari kwa hatua inayofuata naamini hata wakati wa penetration ukianza mtafika pamoja au hata akikutangulia kidogo anaweza kuendelea kupump mpaka na wewe ufike.

Hebu jaribu hiyo kwanza, na kama siku ya kwanza hamtafanikiwa msikate tamaa endelea mpaka mfanikiwe tu, cha msingi msikate tamaa.

MUHIMU SANA: ACHA UZINZI HARAKA YA NINI? SUBIRINI MUDA UFIKE HAYO MAMBO MPAKA MTAYACHOKA WENYEWE
 
Kwanza kabisa usichoke wala usikate tamaa,kwa sababu katika maisha wewe ukisema huyu wa nini,mwenzako anauliza nitampa lini,hasa ukizingatia hakuna hakika ya kumpa huyo wa nusu saa na dakika 45.

Matizo linalo mkabili mwenzako.

1)Pengine mwenzako ni mgeni wa tendo la ndoa,haijalishi umri wake labda mazingira aliyo ishi kwa namna moja au nyingine yalimnyima fursa hiyo.Hiyo inampelekea kuwa mbinafsi wakati wa tendo la ndoa nikimaaanisha huwa anakusahau au pia inawezekana hajui,what so called,"WHAT WOMEN NEED IN BED"

Suluhisho kwa kuwa ni wako mfanye akuzoee akuone ni wake wala hamuiibii mtu pale anapokuwa na papara jaribu kuashiaria au kwa ugeni wake kama atakuwa hakuelewi kwa ishara usione tabu mnong'oneze sikioni kwa sauti ya upole...TARATIBU MPENZI...

2) Inawezekana alikuwa na kiu sana ya kuwa na wewe hivyo hakuishi hamu, au mnakaa muda mrefu bila kuonana au kufanya tendo la ndoa.

Kama ni hivyo itafika wakati atabadilika atabadilika na ikiwa inawachukua muda mrefu kufanya tendo la ndoa badilikeni
na zipo aina ya kondom "DUREX PERFORMER" zimetengenezwa maalum kwa watu wa namna hiyo naamini pia itakusaidia.

Nakushauru usikate tamaa jaribu kutafuta right balance na mpenzi wako ipo siku utafurahi kama yeye,kumpiga na chini sio suluhisho utaweza kuja mpata mwingine ukamkumbuka huyo.

Wanasema mwanaume kufika kileleni ni kama kufungua chupa ya coca cola,ukifanya pupa yota utaimwaga chini lakini ukitulizana kamwe haiwezi kuwa hivyo.
 

tatzo haelezeki,ukimwambia 2jaribu hvi eti yeye hawezi ndo alivyoumbwa kumaliza mapema,IS IT TRUE??He doesnt want to put anyeffort.
 
Mh!Haya nayo tabu!

KAMA KUCHANGANYA BAISKELI INAMCHUKUA MUDA KUKUFIKISHA BASI MWAMBIE ASHINDE CHUMVINI HAPOO..!
Mimi MWENZAKE NAMKOJOLESHA KWA KUSHINDA CHUMVINI KUANZIA MASAA MAWILI NAKUENDELEA HAINA NOMA WALA NINI
NA HUA NANYONYA HAD SEHEM YAKE YA HAJA KUBWA
HAKUNA UCHAFU KWENYE MAPENZ
HEBU MWAMBIE AKUNYONYE KISIMI NA ULIMI AFU RUDI UTUPE MREJESHO HAPA KAMA KAKUFIKISHA AMA LAAA..!!
 
Yaani anapiga bao moja tu kila siku kitu haisimami tena mpaka kesho yake.
 

Rose
Kwanini unadhani hii ni tatizo la kitabibu... mimi naona ni utaalamu tu wa woe wawili.... hapa inaonekana mama pia ni mgeni... haya mambo yanahitaji ushirikiano , yeye anataka akojoleshwe tu..... kwanini asimwambie labda ...... kwa kuwa wanazini na mimi nakaa kimya...ningempoa shule huyu mama Shee leo!
 
Wewe ni jinsia gani? Nadhani hili ndo Tatizo la kufanya mapenzi kabla ya ndoa, acha ubinfsi kama wewe amekushinda unataka kumuachia nani hilo Tatizo???????

watoto wa siku hizi hamlali mchana?...sasa swali gani hilo?iyo jinsia ulitaka abandike hapo picha ndo uelewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…