Nadhani suala muhimu ni kwamba hakuridhishi achana na mambo ya baada ya muda anaejaculate sio muhimu sana, cha muhimu hapo ni ushirikiano, yaani kabla ya penetration kwanza akuchezee kwa mikononi mpaka uwe tayari kwa hatua inayofuata naamini hata wakati wa penetration ukianza mtafika pamoja au hata akikutangulia kidogo anaweza kuendelea kupump mpaka na wewe ufike.Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance,am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.
Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
Hebu jaribu hiyo kwanza, na kama siku ya kwanza hamtafanikiwa msikate tamaa endelea mpaka mfanikiwe tu, cha msingi msikate tamaa.
MUHIMU SANA: ACHA UZINZI HARAKA YA NINI? SUBIRINI MUDA UFIKE HAYO MAMBO MPAKA MTAYACHOKA WENYEWE