DIWANIDALAI
New Member
- Aug 17, 2012
- 1
- 0
Wadau nisaidieni. Nina miaka 33. Nina tatizo la kumwaga haraka kila nifanyapo mapenzi, na kisha hunichukua muda mrefu kusimama kwa ajili ya kuendelea. Hii inasababishwa na nini na nini tiba yake? Najua wapo pia wenzangu wenye tatizo kama hili.
mimi sina tatizo kama hilo so mie sio mwenzako
Ulishawahi kutumia mronge?Wadau nisaidieni. Nina miaka 33. Nina tatizo la kumwaga haraka kila nifanyapo mapenzi, na kisha hunichukua muda mrefu kusimama kwa ajili ya kuendelea. Hii inasababishwa na nini na nini tiba yake? Najua wapo pia wenzangu wenye tatizo kama hili.
Piga puli kabla hujadinya...
dah asa waga unaishia chalinze tu ,piga tizi labda na huyo demu anasemagaje ukishamalizaNdugu wana JF mimi nina tatizo la kuwai kuijaculate when am getting sex through uwa najitahidi kuicontrol hii hali ila nikipress dk moja mbili tayari through mi ni mgeni kidigo kwenye haya mambo huyu ndio mwanamke wangu wa kwanza kusex naye nina uwezo wa kurudia hata mara tano ila huwa namwaga fasta.JAMANI NAOMBA MSAADA WENU NIFANYAJE?
Hina haja ya puli,watu wengi hawafahamu mbinu za kuchelewa au ikiwezekana unaweza jufika kilimani ukafunga breki na ukamsubiri mwenzio ambaye bado anapanda,haya mambo yanahitaji mazoezi ila ukijifunza taratibu utaanza kuzoea.Binafsi naenda moja kwa dk 30 hadi 40 ikiwezekana saa nzima.
Ushauri wa bure.
1.Acha kukoncentrate na tendo lenyewe.
2.Acha kukoncentrate na kuangalia sana maumbile mfano,******,matiti,hata K yenyewe.kwa kuwa baadhi yao maumbile yao yanakufanya usisimke na kupanda kileleni kwa kasi.
3.Piga story za nje ya hapo mlipo kwa kutafuta kisa cha kusikitisha au kusisimua ambacho hakihusiana na mapenzi.
Kwa leo naishia hapa.
hivi kumbe waga ndo hivyo mpaka wote nyege zipande ndo mfike kitonga dah asa mbona ............Katerero lazima upige punyeto ndo utafaidi la sivyo utakojoa kabla mwenzako hajaanza kumwaga noma sana unakojoa mwenzio nyege haijapanda