Hina haja ya puli,watu wengi hawafahamu mbinu za kuchelewa au ikiwezekana unaweza jufika kilimani ukafunga breki na ukamsubiri mwenzio ambaye bado anapanda,haya mambo yanahitaji mazoezi ila ukijifunza taratibu utaanza kuzoea.Binafsi naenda moja kwa dk 30 hadi 40 ikiwezekana saa nzima.
Ushauri wa bure.
1.Acha kukoncentrate na tendo lenyewe.
2.Acha kukoncentrate na kuangalia sana maumbile mfano,******,matiti,hata K yenyewe.kwa kuwa baadhi yao maumbile yao yanakufanya usisimke na kupanda kileleni kwa kasi.
3.Piga story za nje ya hapo mlipo kwa kutafuta kisa cha kusikitisha au kusisimua ambacho hakihusiana na mapenzi.
Kwa leo naishia hapa.