Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Wadau, kuuliza si ujinga. Nimeona na kusikia mara kadhaa kuhusu kujichelewesha kumwaga mbegu/ejaculation. Swali langu ni ya kwamba kama kweli inawezekana, inafanywaje?

.
Kwani ww unataka ufikishe ngapi bwana mdogo..... Mbona kale kaki helehele kanatosha...
 
Wadau, kuuliza si ujinga. Nimeona na kusikia mara kadhaa kuhusu kujichelewesha kumwaga mbegu/ejaculation. Swali langu ni ya kwamba kama kweli inawezekana, inafanywaje?

Bwana mdogo kuna namna nyingi za kukufanya uchelewe kumwaga, wengi wameshindwa kukupa majibu na wanaishia kukubeza kwa kuwa hili tatizo sio dogo kama unavyofikiri, wengi sana linawasumbua usione watu wamekaa kimya mana wamefanya siri. Jaribu kufanya haya

1.Sasa kuanzia sasa anza kufanya Kegel exercise hii itakusaidia sana,

2.Fanya romance ya kutosha kabla hujadumbukiza dushelele lako kwenye ----, hii iatakusaidia kupunguza mhemuko

3.Ukiona zote hizo njia sio msaada kwako basi jaribu hii pia ina msaada mkubwa sana, kabla kukutana na mwanamkwe masturbate saa moja kabla ya kuanza kufanya mapenzi, hii ndio funga kazi kwani unaweza kupiga mpaka saa nzima bila kumwaga ukiwa kifuani kwa mwanamke,

4.Mwisho kabisa kama wewe ni unatumia kileo basi chukua zanzi pakiti 2, na mzinga mmoja wa konyagi kisha mix, dogo hapa utakesha ukitombana na utafurahia ulimwengu wa mapenzi na utasahau kabia kwamba kuna tatizo la kuwahi au kuchelewa kumaliza
 

100 kwa 100
 
Badala mumsaidie mwanaume mwenzenu nae afaidi utamu wa kumm@ mnamletea mapicha picha....waone!!!

Hawa watoto wa siku hizi hawataki kusumbua vichwa. Ndio maana madada zetu wanaanza kutafuta wanaume wa west africa ambao mashalllah wanawasifia wakiwapanda hawashuki mpaka wakojoe mara tatu tatu.
 
Mind plays alot on everything...lets work on developing strong minds...the rest will be history! Hata umaskini tutaukimbia..tutausikia kwenye redio tu.
 
Yote huanzia kwenye ubongo wako..............

ukicheza nao vya kutosha basi utajua ushushe mzigo wakati gani...........

kutombana raha sana kama wote mnapumzi na mnaendana mapigo..........
 
Ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi hivi sasa, zifuatazo ni sababu na jinsi ya kutatua tatizo hilo.

Punguza wasi wasi na haraka ya kupata raha na utamu

Wanaume wengine wanakuwa nanwasiwasi kuwa wataperfom vizuri au vibaya kiasi gani,wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa watapata raha kiasi gani na wengine ambao washajijua kuwa huwa wanafika kileleni mapema, wanakuwa na wasiwasi kuwa watafika kileleni mapema tena.

Tatizo hili mara nyingi linawasumbua wanaume ambao hawana mazoea ya kupeana raha na utamu mara kwa mara, au wanaume ambao ndio kwanza wameanza mambo ya kupeana raha na utamu.

Kwa sababu wanapata raha ya ziada tofauti na wanaume ambao wana do mara kwa mara ingawa pia kuna wazoefu ambao wanasumbuliwa na hili tatizo.

Jinsi ya kufanya

Punguza uoga, wasiwasi na haraka. Kama uoga, wasiwasi na haraka vinasababishwa na kutopeana raha na utamu mara kwa mara, basi jaribu kupeana raha na utamu mara kwa mara mpaka akili yako izoee kitendo cha kupeana raha na utamu na mashine yako izoee joto la Uke.

Ila kama wewe ni mzoefu na unasumbuliwa na tatizo hili la wasiwasi, basi unatakiwa umwone mwanasaikolojia au daktari kwa sababu nina uhakika watu hao watakushauri vizuri.

Pia jaribu kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara kwa kuwa yanapunguza uoga na wasiwasi na yanaongeza kujiamini na pia yanaongeza stamina itakayokusaidia usicum mapema.

Acha kujichua/punyeto

Wanaume wengi washawahi kujichua baada ya kubalehe, wengine wanaacha kujichua wakishapata wasichana au wakianza kuwa watu wazima. Lakini wapo wanaume wengine kujichua kwao imekuwa kama ulevi wa pombe au madawa ya kulevya.

Wanazidisha kiwango cha kufanya kwa siku na kuacha hawawezi hata kama wanapenda kuacha. Na kadri wanavyozidi kujichua, ndio misuli ya mashine zao inazidi kulegea na ndio hapo sasa wanakuja kupata tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa kupeana raha na utamu.

Jinsi ya kufanya

Kama unajichua zaidi ya mara moja kwa siku au haiwezi kupita siku bila kujichua na unasumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema, basi ujue kujichua ndio tatizo lako unatakiwa uache mara moja,kama hujui jinsi ya kuacha basi zifuate hatua zifatazo:-

*Usikae peke yako kabisa ili kuepuka kupata hamu ya kujichua bila sababu.

*Usikae karibu na vitu vitakavyokupa tamaa ya kujichua mfano,picha za ngono.

*Tafuta kitu kingine cha kufanya kitakachokuchangamsha mfano, kucheza mpira n.k

*Fanya mazoezi kwa kuwa yanasaidia kuondoa mawazo ya ngono na kujichua.

*Punguza idadi ya kujichua kwa siku kidogo kidogo mpaka uache kabisa.

Ukitaka Dawa ya kuchelewa kufika kileleni mapema ninayo nitafute kwa wakati wako nitumie Email Baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…