Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

mwambie agangamale...halafu na wewe acha kukata sana mauno kama upo kwenye mdundiko....ona sasa mwenzako anaadhirika.
 
Mm nilikuwa nauza
hiyo Dawa lkn sio permanent na asikudanganye mtu hapo hamna dawa zaidi
itakuwa siku yaaa kusex tu akipaka anakupiga mambo hata masaa mawili
bila kushusha mpaka issue ichubbuke
hiyo hapana aisee masaa mawili!sio vita.
 
Rahisi tu meambie mbanduane kwa siku nzima kwa muda wa wiki moja uone kama haijawa late ejuculation na usipende kumbania pia..
 
yaani anapizi wakati wa kuingiza,mm kileleni nafika tunapofanya romance.

Basi dawa yake ni simple tu afanye kergel exercise! Mazoezi ya kubana na kuachia msuli wa chini kwa babu akifanya kwa mda wa mwezi yani atakuwa more than porno star! Yani atanda hadi dakika 40 kwa bao moja,je utaweza vumilia?
 
Basi dawa yake ni
simple tu afanye kergel exercise! Mazoezi ya kubana na kuachia msuli wa
chini kwa babu akifanya kwa mda wa mwezi yani atakuwa more than porno
star! Yani atanda hadi dakika 40 kwa bao moja,je utaweza
vumilia?
asante sana ntaweza.
 
Unapatikana wapi? Ni-PM namba yako ya simu nione namna ya kukusaidia bibie, otherwise pole sana!
 
Jaribu kuchezea Mike kwanza kwa muda mrefu, hakikisha bao la kwanza lote anapiga nje, baada ya hapo, la pili, tatu,nne,tano,sita,saba,nane..... ndo mpe akugegede.
 
hiyo hapana aisee masaa mawili!sio vita.

hamna masaa mawili ni kwangu ambaye niko konkodi lkn huyo mnyonge 30mins-1hr bado hatakuwa kwenye gemu
hivo najua huyo mmeo anashusha mzigo within 5mins akizidi sana 10mins na ikija kuamka ishakuwa asubuhi
 
Naomba msaada kwenye hili. Mimi ni mwanaume wa miaka 27, ni muda sasa nimekua na hili tatizo la kufika climax mapema. Siwez hata kuchukua dakika moja nakua nimeshafika. Siipendi hii hali sana, naombeni ushauri nini cha kufanya

Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiiana…….!

11.jpg


Kutoka mbegu za kiume muda mfupi baada ya kumwingilia mwanamke huitwa premature ejaculation. Huu ni udhaifu wa kawaida kwa wanaume walio wengi kwa ujumla wake, ikiwa ni pamoja na vijana. Mtaalamu Ira Sharlip anasema katika utafiti wake kuwa, ni kiasi cha asilimia 20 hadi 30 ya wanaume wa rika zote ambao wana matatizo haya.

Njia za kitabibu za kuweza kumtambua mtu mwenye udhaifu huu inaitwa Intravaginal ejaculatory latency time(IELT). Hata hivyo, mtaalamu Ira Sharlip anaongeza kwa kusema kwamba, utaratibu huu hausaidii sana kumjua mtu mwenye premature ejaculation. Kuna wanaume ambao wanamaliza katika dakika moja tu baada ya kumwingilia mwanamke na wao hudai kwamba, hawana matatizo.

Na halafu upande mwingine, kuna wanaume ambao wanaweza kuchukua dakika 20 bila kutoa mbegu baada ya kumwingilia mwanamke. Hawa nao ni wagonjwa, kwani muda huo ni mkubwa kuliko wastani. Kwa maana nyingine ni kwamba, maana ya neno premature, zaidi zaidi liko katika mtazamo wa mhusika mwenyewe. Inategemea na mtu mwenyewe anavyotosheka kimapenzi na uwezo wake wa kujidhibiti muda wa kumaliza unapokuwa umewadia.

Utafiti wa mwaka 2010 katika jarida la Journal of Sexual Medicine uliona kwamba, kipimo kizuri cha premature ejaculation ni dakika 5.4. Yaani mtu akitoa mbegu baada ya dakika pungufu ya hizo, tangu amwingilie mwanamke basi ana ugonjwa huu wa premature ejaculation.

Lakini Ian Kerner anasema kipimo ni dakika mbili. Yaani mwanaume akimaliza haja yake kabla ya dakika mbili, basi ana ugonjwa huo. Anaongeza kwamba, watu wengi anaokabiliana nao ni wale ambao wanatumia muda mfupi chini ya dakika mbili kumaliza haja zao. Wengine hutumia sekunde 30 tu!

Pia hata sababu za nje zinaweza kuchangia kumfanya mwanaume akawa na tatizo hili. Mtu mwenye mawazo mengi ni rahisi kukumbwa na tatizo hili. Mtu mwenye mawazo mengi anamaliza haraka mara baada ya kumwingilia mwanamke, kwa mujibu wa mtaalamu Kerner.

Lakini kumaliza kwa namna hii pia kuna uzuri wake kwamba, tumejaza dunia kwa kuwa na watu wengi. Kama watu wangekuwa wanachukua saa nzima kumaliza baada ya kumwingilia mwanamke, dunia ingekuwa na uadimu wa watu!

Washauri nasaha wanaojihusisha na ushauri wa kimapenzi na matibabu wanatoa tiba mbalimbali kwa ajili ya watu wenye wasiwasi; wasiwasi ambao huwafanya wawe wanamaliza haraka sana baada ya kumwingilia mwanamke.

Kuna dawa ambayo mgonjwa akipewa zinamsaidia kurefusha muda wa kuendelea na tendo, baada ya kumwingilia mwanamke. Dawa hizo ni kama zile za kupooza msongo wa mawazo. Pia kuna mazoezi ambayo yanashauriwa kufanywa. Mazoezi haya humsaidia mtu kujenga upya mkabala wa namna anavyochukulia tendo.

Lakini pia njia iliyo rahisi zaidi ili kutokuwa mwepesi wa kumaliza haraka ni kujizoeza kuacha kulifikiria tendo hilo la ngono unapokaribia kufikia kileleni (kwa kufanya pole pole zaidi au kufikiria mambo mengine ya nje kama ya mpira, mfano Yanga na Simba au Manchester na Chelsea). Jenga mazoea kufanya namna hiyo. Ukizoea itakuwa ni kama kitu cha kawaida kwa kujikaza kisabuni na kuhakikisha unamsubiri mwenzio ili mwende pamoja kileleni.

Kila kitu ni kujifunza. Ukijizoeza kujikakamua bila kumaliza hata katika hali ya ham ya juu kwa kumsubiri mpenzi wako, tatizo la premature ejaculation litakuwa limethibitiwa. Hii ni kwa mujibu wa mtaalamu Prosterman.

Kwa Ushauri wa Matibabu wasiliana na mimi kwa njia ya Email Barua ya pepe Email address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Hii kitu hii,
naona kama inashika kasi, au watu wanakua wawazi zaidi siku za karibuni?
 
Back
Top Bottom