LTK
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 267
- 97
Unataka ucheleweili iweje mkuu?
Dhumuni kubwahua ni kupiz ... uchelewe uwahi ni lazima utapiz kwa kiwango hicho hicho
Ujue ilo tendo mnakoseamnapo lifanya kama sehemu ya burudani, huku mkisahau hiyo kitu ni kwa ajiri ya kupeana mimba only...
ndio maana wanyama wenye akili kama tembo hukutana na mpenzi wake kipindi tu ambacho mke wake atashika mimba... ila nyie binadamu mmeisha fanya ni starehe kha!