Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

anza mazoezi ya kubana mkojo. ukiensda kukojoa, katisha mkojo kutoka kwa sekunde kadha, endelea halafu kata tena. endelea na zoezi hilo mpaka utakapomaster. nakwambia PC muscle zitaendelea kuimarika mpaka utafuraihi hilo tendo
 
AFAJIRI PIGA KAHAWA YENYE MDALASINNI NA SUKAR KAMA CHAI YA KAWAIDA ULE NA KARANGA MBICHI KILA SIKU JIONI KUNYWA AZAM MALT KILA SIKUN PGA PAPUCHI KWA SIKU TANO AU ZAIDI KILA WIKI RAUNDI TATU AU ZAIDI KILA SIKU.Kwann kwasababu kiungo unavokitumia kina kuwa imara zaidi na raundi nyingi huongeza interval za ejaculation. wakati ukikaribia kumwaga piga breki dakika moja mimi nilikuwa kama wewe sasa nimefikia 70 minutes kwa kila round
 
Mkuu fanya sna mazoezi,Kula matunda na mboga za majani kwa wingi na pungza vyakula vya kusindkwa na vyenye mafuta mengi pia acha kupga puli mzazi!
 
Naomba msaada kwenye hili. Mimi ni mwanaume wa miaka 27, ni muda sasa nimekua na hili tatizo la kufika climax mapema. Siwez hata kuchukua dakika moja nakua nimeshafika. Siipendi hii hali sana, naombeni ushauri nini cha kufanya
 
Umeoa?
 
Pole sana Mr malimingiii. Bila shaka kutakuwa na sababu ya kuweza kusababisha hiyo hali japokuwa hujaeleza matukio ambayo ulishawahi kukutana nayo siku za nyuma katika maisha yako. Hiyo hali huwa haijitokezi yenyewe kama ulizaliwa ukiwa upo kawaida. Hebu elezea ili tuweze kukusaidia kwani hali kama hiyo siyo wewe tu uliye nayo bali wapo wengi walishawahi kuwa nayo wakajielezea tukawasaidia.
 
jamani msaada tutani wakuu,nn tiba ya premature ejaculation?mpenzi wangu ana hilo tatizo,nisaidieni sitaki kumuacha nampenda.
 
jamani msaada tutani wakuu,nn tiba ya premature ejaculation?mpenzi wangu ana hilo tatizo,nisaidieni sitaki kumuacha nampenda.
mwambie aondoe mawazo ya sex pindi dushe inapoingia kwako
 
Afanye mazoez kwa sana,apunguze kupiga punyeto,aache bangi na ale msos wa maaana

Akishindwa awatafute wamasai wampe sumu
 
Umejuaje? Ebu tiririka? Akiingiza anapizi baada ya mda gani? Je anakufikisha kileleni? Problem ni ipi anakojoa haraka au haufiki kileleni?
 
jamani msaada tutani wakuu,nn tiba ya premature ejaculation?mpenzi wangu ana hilo tatizo,nisaidieni sitaki kumuacha nampenda.

Mm nilikuwa nauza hiyo Dawa lkn sio permanent na asikudanganye mtu hapo hamna dawa zaidi itakuwa siku yaaa kusex tu akipaka anakupiga mambo hata masaa mawili bila kushusha mpaka issue ichubbuke
 
Back
Top Bottom