Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada kwenye hili. Mimi ni mwanaume wa miaka 27, ni muda sasa nimekua na hili tatizo la kufika climax mapema. Siwez hata kuchukua dakika moja nakua nimeshafika. Siipendi hii hali sana, naombeni ushauri nini cha kufanya
mwambie aondoe mawazo ya sex pindi dushe inapoingia kwakojamani msaada tutani wakuu,nn tiba ya premature ejaculation?mpenzi wangu ana hilo tatizo,nisaidieni sitaki kumuacha nampenda.
mpe 0714
jamani msaada tutani wakuu,nn tiba ya premature ejaculation?mpenzi wangu ana hilo tatizo,nisaidieni sitaki kumuacha nampenda.
cha kwanza hata kabla hajaingiza,cha pili kinachukua mda mfupi sanaInakuaje?anafanyaje?hata cha 2 inakua hivyo hivyo?
asante kwa ushaurimwambie aondoe mawazo ya sex pindi dushe inapoingia kwako