masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Eary ejaculation ndo nn???teh teh
early ejaculation, si ndio mkuu?Yaani ndio kwanza kapiga denda, kakuvua pichu,ile anaweka tu hata dakika haijaisha kesha kojoa
Hivi shule zimefungwa bado?
early ejaculation, si ndio mkuu?
uoga nao ni kesi hapa, kama huna experience na haya mambo lazima jasho likutoke...
Hivi jamani wale wazoefu watumbie hili tatizo linasababishwa na nn haswa!!!!
mkuu lakini hapa si ndio mahala pake? mbona mnawanyanyapaa members wenye ID ngeni masikioni mwenu?Umeamkia hilo, kweli Tanzania! Sasa na huyu naye apelekwe kwenye bunge la katiba halafu useme kuna representation!
early ejaculation, si ndio mkuu?
uoga nao ni kesi hapa, kama huna experience na haya mambo lazima jasho likutoke...
Hata mimi hii hali inanisumbua sana nikiingiza tu tayari namwaga vitu na unamkuta demu ndio kwanza hajamaliza basi anahangaika anashindwa hata kupata usingizi sijui hata nifanye nini wana JF mwenye ufahamu atusaidie ili tuweze kuwaridhisha wenzetu.
Japo umekosea spelling umeeleweka.
Tatizo hilo husababishwa na kupungukiwa nguvu zakiume.
Kupungukiwa nguvu zakiume nako kuna sababu zake ikiwamo punyeto, kuugua kisukari, kunywa pombe kupita kiasi, mwili Kuwait na mafuta kupita kiasi, unene kupita kiasi na nyingine nyingi.
Jaribu kufanya mazoezi kujenga afya bora na usipende sana kutumia madawa ya Wamasai wengi wao ni matapeli.