Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

nina rafiki yangu mmoja nakaa nae hapa kanisimulia yaliyomkuta juzi akina na demu wake na tena ilikuwa ni kwanza wanakutana(kingono),sasa kaniomba ushauri nikaona ngoja niingie kwa wakubwa huku najua nitapata kitu cha kumjibu::

Sasa ni hivi huyu jamaa kuna box anapiga somewhere halafu box lenyewe ni nightduty yaani saa 12 jioni anaenda usiku kucha anarudi saa 1asubuhi,sasa tangu aanze hii kazi jamaa analalamika kwamba ''inshu'' hajawahi kuiona imesimika,tukampa kazi jumapili(haendi beba box) alale mapema halafu asubuhi akiamka aangalie penis kama imesimama au la...dah kufika asubuhi hamna kitu(kimesinyaa).

Sasa kwa bahati mbaya ile juzi dem wake ambaye akichat nae maranyingi akafanya suprise akatimba maskani,yaliyomkuta mshkaji ni kwamba ''inshu'' yake ilishindwa kusimama halafu akapiga bao kabla hata hajatumbukiza mzigo kunani...na baada ya hapo inshu ikazila kabisa...hadi dem kaondoka!!!
Sasa jamaa hii inshu imem-discarrage sana na anaona sababu kubwa ni kutolala usiku kwahiyo ana mpango wa kuacha kazi...sasa hapa jamaa nimsaidie vp,na hiyo kazii kaitafuta sana mpaka kaipata,sasa kadai anataka kuacha kisa inshu haisiki na ana tatizo la pre-ejaculation.......mawazoo yenu plze..!!
 
aache kuendekeza ngono,yaani yeye anapenda ngono kuliko kazi basi aache kazi aone atakula wapi au jamaa ni mtu wa pwani?
abebe box kama kawa mwili ukizoea atarudi kwenye viwango labda muulize kwa ukaribu unaweza kukuta mtarimbo ulikuwa na matatizo ila kashindwa kukupa ukweli anadai box
 
Unaweza IWEKA JF DOCTOR unaweza ukapata ushauri wa kitaalamu zaidi .maoni yangu
 

ni kweli kwenye hiyo blue mkuu au!!!
 
nina rafiki yangu mmoja nakaa nae hapa kanisimulia yaliyomkuta juzi akina na demu wake na tena ilikuwa ni kwanza wanakutana(kingono),sasa kaniomba ushauri nikaona ngoja niingie kwa wakubwa huku najua nitapata kitu cha kumjibu

Hapo pamenifanya nisichangie kwaheri
 

Pamoja na lugha "mbofu" uliyotumia yenye makosa kibao ya kiuandishi, inaonekana wewe ndiye mhusika wa suala unaloongelea hapa. Pole sana kwa kuendekeza ngono. Msalimie shetani mwambie siku zake zipo ukingoni.
 
cha ajabu ni kwamba, kuna watu wengine, zinaenda hadi dakika 30 hatujakojoa....na tukikojoa hilo moja, tukaongeza la pili, la tatu ni mbinde...hadi tukimaliza mwili wote hoi...wa kwangu na wa mwanamke..sasa na mimi sijui hili ndo tatizo au vipi...manake wakati mwingine huwa naona kama ningekojoa kama dakika walau saba hadi kumi hivi...lakini kama hazijapitaa 20, hamna kujojoa...kama na mimi nina tatizo basi nisaidieni wajemeni....
 
To me it sound like pre-ejaculation is just a sub-topic of the thread...... Halafu tumiaga tafsida katika maneno mazito....... To me the prob is more psychological.... so amtafute psycho-therapist.....
 
Humu tunapeana msaada wa mawazo sio kulaumiana:Mdau huyo mtu wako ajiangalie yafuatayo
1.Kazi ngumu sana zinachangia upotevu wa nguvu za kiume,aangalie nature ya kazi yake
2.Nina wasiwasi labda anapiga sana punyeto,hii inchangia kupunguza uwezo wa mtalimbo kufanya kazi na pia kuharibu saikolojia asili ya kuweza kuamsha hisia za kufanya hayo mambo
3.Huenda jamaa yako ni muoga/hofu au ana stress fulani ambazo anazileta hadi anapokuwa kitandani.Elewa kuwa uoga/stress hazipelekei akili kushirikiana na hivyo kuruhusu damu kutiririka ktk penis
4.Hapati usingizi wa kutosha,ila kwa kuwa analala mchana sio sababu sana ila yaweza changia-kumbuka walinzi wa usiku wana wake na wanafanya mabo kama kawa-alale mchana vema
Kwa leo hayo,ajiangalie anaingia kundi gani kisha ajirekebishe au laa awaone wataalamu wa afya na saikolojia
 
huyo demu ali-maindi? Aombe marudio tu...
ikitokea tena...akamwone daktari...
 
mwoga huyo... Alishawahi kukutana na mwanamke kabla ya tukio hili? To me that is just anxietynq nahisi bado ni mgeni kwenye hayo masuala na hakuna tiba bora zaidi ya huyo dada kukaa nae vizuri na kwenda nae mdogo mdogo... Akijaribu kwingine inaweza kuwa worse
 

et list u say smthng...nikweli jamaa ana stress....na alishawahi pata depression kama 2 yrs back....kazi yake sio ngumu kiivyo..ni kama customer care',.
swala la punyeto naamini 100 perc analikung'uka sana...huyu jamaa ni muhindi-mbongo...!!
 
kwa mtindo huu yale mabango ya waganga wa kienyeji kila kona ''tunatibu nguvu za kiume'' hayataisha
 
hospitali tu ndo solution, awahi haraka!
 
STRESS TU!...Unachukua demu mtaani, hujui atakupa bili gani baada ya uzinzi...matokeo yake jasho kibao linakutoka , na huenda mfukoni hakujatulia sana, for sure huwezi kuzini tena!...huh!
Halafu kwa case ya huyu unasema "kwa bahati mbaya demu wake anaechat nae kila siku akatokezea ghafla"...my leg!😡!!
Hivi kweli ni bahati mbaya eeh?..sasa kama ndivyo mlitegemea atafanyaje uzinzi na huku anawaza juu ya bahati mbaya kabisa!???
 

mkuu hapo namaanisha dem wake alitimba...may b inaweza ikawa ni appointment..ila sikuwa na maana kwamba ni kitu kibaya....bt i appreciate ur concern PJ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…