Jibu lako ni kwamba SIO UGONJWA; ila mara nyingi hali hiyo inaletwa na hali ya kutokujiamini wanayokuwa nayo baadhi ya wanaume, japo kwa kawaida wanaume weng huwa wanafika kileleni mapema hasa kwenye mshindo wa kwanza, ni tatizo la wanaume wengi ila ukishajua nini chakufanya with time pamoja na msaada kutoka kwa gf wako ama mkeo tatizo hilo utalimaliza.Ni mada ndefu sana na jambo hilo liko wazi sana na hata nini ufanye ni jambo rahisi sana ila kwa kuwa uliuliza kama ni tatizo ama ni ugonjwa nafikiri nimekujibu sio Ugonjwa ila ni Tatizo linalotatulika.