Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Jibu lako ni kwamba SIO UGONJWA; ila mara nyingi hali hiyo inaletwa na hali ya kutokujiamini wanayokuwa nayo baadhi ya wanaume, japo kwa kawaida wanaume weng huwa wanafika kileleni mapema hasa kwenye mshindo wa kwanza, ni tatizo la wanaume wengi ila ukishajua nini chakufanya with time pamoja na msaada kutoka kwa gf wako ama mkeo tatizo hilo utalimaliza.Ni mada ndefu sana na jambo hilo liko wazi sana na hata nini ufanye ni jambo rahisi sana ila kwa kuwa uliuliza kama ni tatizo ama ni ugonjwa nafikiri nimekujibu sio Ugonjwa ila ni Tatizo linalotatulika.
 
wanake wengi hulalamika kwa sababu mume/mpz wake kuwahi kufika kileleni,na jinsi anavyolalamika huonyesha kuchukia kabisa kitendo hicho cha mume au mpz wake kuwahi kufika kileleni.Na ndio maana nikaauliza kwa sababu wanawake wengi hulalamika.

Kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha hilo na moja wapo linaweza likawa ni ugonjwa.
 
Tendo la ndowa linaendana na akili ya mtu. Baadhi ya wakati hata uwe fundi wa namna gani wa kupangilia muda unaweza ukashindwa kuutekeleza kutokana na fikira ulizonazo juu ya unaefanya nae tendo. Kwa mfano umeshahangaika nae sana na kuwasha hamu zako basi inakuwa rahisi kupoteza control kwa unachokifanya.
Pengine hali utakayomkuta mwenzio inaweza ikakupa msisimko zaidi pia unaweza kupoteza control.
Kinachotakiwa ni kwa mwanamke kustahamili na kumpa moyo mwenzake mara itayofuata atakuwa na concentration zaidi.
 
wanake wengi hulalamika kwa sababu mume/mpz wake kuwahi kufika kileleni,na jinsi anavyolalamika huonyesha kuchukia kabisa kitendo hicho cha mume au mpz wake kuwahi kufika kileleni.Na ndio maana nikaauliza kwa sababu wanawake wengi hulalamika.

Hapo ni technics tu. Kwanza wapenzi wanatakiwa kuzungumza na kuelewana. Sio mkianza shughuli mnaanza kufanya mashindano. Kitu cha pili na kikubwa zaidi ni mwanamme kuelewa kuwa kila kitu kinachofanyika katika mwili wake kinapata amri kutoka ubongoni. Hivyo ubongo ukihamua kuwa kitu kitoke, basi kitatoka na hakuna wa kukirudisha. Basi ni muhimu kwa mwanamme kuelewa signal zake. Signal zikionyesha kuwa kilele kinakaribia basi apunguze mapigo.
 
naunga mkono hoja tatizo wanaume wengi huwa katika sex ni wabinafsi i mean mtu anataka amalize fasta nyege zake bila kumjali mwenzie,,,,dawa yake ni kujizuia mpaka mwenzio atakapomaliza then unaruhusu ubongo sasa ili nawe umalize kwa step unakuta kidume kikishaloweka basi ni mapigo ya kasi non stop unafikiri utaacha kuwah?do mdo mdo bhana ndo dawa na hakuna ugonjwa katika hili,perod
 
mleta mada sio under 16 kweli?

Juwezi uliza kwa nini mtu alalamike asiposhiba kama ni over 18.
 
Habari za mchana wakuu!! natumaini wote mu wazima na mnaendelea na shughuli za kulijenga taifa hili vizuri!! kuna ki2 huwa kinanichanganya akili na huwa mara nyingi nafikiria labda ni ugonjwa!! hivi wakati wa kufanya mapenzi na kujikuta ndani ya dk moja ushamaliza, je hili ni tatizo la kiafya au ndo inavyokuwa kwa watu wote? Na kma sio kawaida, je ni njia zipi hasa ambazo mwanaume anatakiwa azifuate ili wakati wa kale kamchezo atumie mda mrefu kufika kileleni? Niulize tena swali, je kwa nini baada ya kumaliza bao la kwanza mjomba anasinzia? je inawezekana kuunganisha mara baada ya kumaliza bao la kwanza? naombeni msaada ndugu coz tatizo hili linanikera mno!!!
 
1.Ni matumaini yangu wote mu wazima!! naombeni kuwaulizeni swali ndugu zanguni! hivi kufika kileleni ndani ya dk moja wakati wa kufanya kale kamchezo kwa mwanaume ni matatizo ya kiafya au ni kawaida kwa wanaume woote wajameni? na kama basi ni tatizo, je ni njia zipi au ni mbinu zipi mwanaume inampasa kuzitumia ili adumu kwenye hilo tendo kwa mda mrefu?? 2. Je mbona mjomba huwa anasinzia mara baada ya kumaliza bao la kwanza? je ni tatizo kushindwa kuendelea na game (kuunganisha) baada ya kumaliza la kwanza?? je mwanaume afanyeje ili aweze kuunganisha baada ya kumaliza cha kwanza? Tusaidiane ndugu coz tatizo hili huwa linawakera sana wanaume wengi!!!
 
Ni matumaini yangu wote mu wazima!! Naombeni kuwaulizeni swali ndugu zanguni! hivi kufika kileleni ndani ya dakika moja au pungufu wakati wa kufanya kale kamchezo kwa mwanaume ni matatizo ya kiafya au ni kawaida kwa wanaume woote wajameni? na kama basi ni tatizo, je ni njia zipi au ni mbinu zipi mwanaume inampasa kuzitumia ili adumu kwenye hilo tendo kwa mda mrefu?? 2. Je mbona mjomba huwa anasinzia mara baada ya kumaliza bao la kwanza? je ni tatizo kushindwa kuendelea na game (kuunganisha) baada ya kumaliza la kwanza?? je mwanaume afanyeje ili aweze kuunganisha baada ya kumaliza cha kwanza? Tusaidiane ndugu coz tatizo hili huwa linawakera sana wanaume wengi!!!
 
tafuta mwanamke mwenye sura mbaya
 
umewahi kutumia dawa zozote zile siku za karibuni?umewahi kuugua siku za karibuni?umewahi kufanya mazoezi ya viungo na kuacha siku za karibuni?jibu hayo maswali nitakusaidia
 
Back
Top Bottom