wanake wengi hulalamika kwa sababu mume/mpz wake kuwahi kufika kileleni,na jinsi anavyolalamika huonyesha kuchukia kabisa kitendo hicho cha mume au mpz wake kuwahi kufika kileleni.Na ndio maana nikaauliza kwa sababu wanawake wengi hulalamika.
dalili ya usenge or impotence
Naomba mfate hii link inaelezea vizuri sana hili tatizo:
Premature ejaculation - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwa mara ya kwanza leo umetoa reply yenye akili, siku zingine zote huwa unareply pumba.
wanake wengi hulalamika kwa sababu mume/mpz wake kuwahi kufika kileleni,na jinsi anavyolalamika huonyesha kuchukia kabisa kitendo hicho cha mume au mpz wake kuwahi kufika kileleni.Na ndio maana nikaauliza kwa sababu wanawake wengi hulalamika.
Hapo ni technics tu. Kwanza wapenzi wanatakiwa kuzungumza na kuelewana. Sio mkianza shughuli mnaanza kufanya mashindano. Kitu cha pili na kikubwa zaidi ni mwanamme kuelewa kuwa kila kitu kinachofanyika katika mwili wake kinapata amri kutoka ubongoni. Hivyo ubongo ukihamua kuwa kitu kitoke, basi kitatoka na hakuna wa kukirudisha. Basi ni muhimu kwa mwanamme kuelewa signal zake. Signal zikionyesha kuwa kilele kinakaribia basi apunguze mapigo.
Ndugu,
Kilele cha mlima Kilimamnjaro au Meru?
Ni matumaini yangu wote mu wazima!! Naombeni kuwaulizeni swali ndugu zanguni! hivi kufika kileleni ndani ya dakika moja au pungufu wakati wa kufanya kale kamchezo kwa mwanaume ni matatizo ya kiafya au ni kawaida kwa wanaume woote wajameni? na kama basi ni tatizo, je ni njia zipi au ni mbinu zipi mwanaume inampasa kuzitumia ili adumu kwenye hilo tendo kwa mda mrefu?? 2. Je mbona mjomba huwa anasinzia mara baada ya kumaliza bao la kwanza? je ni tatizo kushindwa kuendelea na game (kuunganisha) baada ya kumaliza la kwanza?? je mwanaume afanyeje ili aweze kuunganisha baada ya kumaliza cha kwanza? Tusaidiane ndugu coz tatizo hili huwa linawakera sana wanaume wengi!!!