Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Jamani ndg zangu naombeni ushauri wenu...! Nimekuwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni isivyo vya kawaida...!
Yani nauwezo wa kupiga goli la kwanza within a minutes na magoli mengine hivyo hivyo pia.
Ushauri wenu please

Mambo ya magiri. Mmmmh
 
Jamani ndg zangu naombeni ushauri wenu...! Nimekuwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni isivyo vya kawaida...!
Yani nauwezo wa kupiga goli la kwanza within a minutes na magoli mengine hivyo hivyo pia.
Ushauri wenu please
We unasema unawahi, kuna wanaowahi zaidi yako. We fikilia demu pale anapokuvua chupi kitendo cha kuushika muogo tu jamaa anatema sasa hapo ww na yeye nani yuko fasta.
 
Wakuu,

Leo nawaletea dawa ya kuzuia kukojoa mapema kwa mwanaume wakati wa 6 kwa 6. Dawa ni hii kama umepanga kukuta na mweza wako muda flani, wewe 2 up 5 hours before piga puny..eto.

Kimoja tu nakwambia msichana akija utaenda hadi saa nzima bila kukojoa. wengi hukojoa mapema kwasababu ya kutofanya hivi.

Jaribuni then mlete mrejesho hapa mkifanikiwa. Mi ndio utaratibu natumia una mafanikio makubwa.
 
Wakuu leo nawaletea dawa ya kuzuia kukojoa mapema kwa mwanaume wakati wa 6 kwa 6. Dawa ni hii kama umepanga kukuta na mweza wako muda flani, wewe 2 up 5 hours before piga pun..eto kimoja tu nakwambia dem akija utaenda hadi saa nzima bila kukojoa. wengi hukojoa mapema kwasababu ya kutofanya hivi. jaribuni then mlete mrejesho hapa mkifanikiwa. Mi ndio utaratibu natumia una mafanikio makubwa

we jamaa tabu kweli, labda nikuulize lengo la ku sex unataka nn zaidi ya kukojoa haijalishi unakojoa mapema au unachelewa.
 
Wakuu leo nawaletea dawa ya kuzuia kukojoa mapema kwa mwanaume wakati wa 6 kwa 6. Dawa ni hii kama umepanga kukuta na mweza wako muda flani, wewe 2 up 5 hours before piga pun..eto kimoja tu nakwambia dem akija utaenda hadi saa nzima bila kukojoa. wengi hukojoa mapema kwasababu ya kutofanya hivi. jaribuni then mlete mrejesho hapa mkifanikiwa. Mi ndio utaratibu natumia una mafanikio makubwa
Nyeto hulemaza mishipa ya dushelele kama hujuwi, kazana kupiga nyeto
 
Wenzio tulianza tumia hii tekniq toka secondary, alafu baada ya hapo ukimpiga goli la kwanza linalofuata usitumie ndom! Au kama unataka umkomeshe baada ya hiyo nyeto ya kwanza, vaa ndom 2, kisha msugue kisawa sawa! Lengo hapo ni yeye afike sio wewe!
 
Du wengine mlishaanza zaman kuitumia hii mbinu
 
Wakuu leo nawaletea dawa ya kuzuia kukojoa mapema kwa mwanaume wakati wa 6 kwa 6. Dawa ni hii kama umepanga kukuta na mweza wako muda flani, wewe 2 up 5 hours before piga pun..eto kimoja tu nakwambia dem akija utaenda hadi saa nzima bila kukojoa. wengi hukojoa mapema kwasababu ya kutofanya hivi. jaribuni then mlete mrejesho hapa mkifanikiwa. Mi ndio utaratibu natumia una mafanikio makubwa
effects zake utakutana nazo badae wakati umri umeenda
 
Back
Top Bottom