Habari zenu naombeni ushauri hivi ni tatizo gani linasababisha mwanaume awahi kukojoa wakati wa tendo yan unakuta sekunde chache kakojoa siku akijitahidi kuchelewa ni dk 3 yan hapo kajitahidi sana tena hizo dk 3 unakuta ni mpaka mwanamke ukae kama gogo usikatike ndoanafikisha, ila tofauti na hapo ni dk 1 tayar kakojoa msaada jamani afanyaje awe anachelewa maana mazoezi anafanya, anakula vizuri ila sielewi tatzo ni nn jaman
Pole sanal Tembocard,
Bila shaka ww ni Mdada, kutokana na maelezo yako apoo....
Basi ni hivi,
Mimi ni Mkaka, na hilo tatizo nimekua nalo, ila awali ckuaga nalo kabisa, nilikua niwa zaidi ya dakika 20..
NIMESOLVE VIPI..
nimefanikiwa kusolve ilo tatzo kwa kujizuia nisi ejaculate pindi napo ona lina kalibia kutoka..
last tym niliweza kufika adi dakika 15 bao la kwanza bila ku piga bao na round zote zizofata ivo ivo...
USHAURI WANGU KWAKO..
Ujue nikazi sana mwanaume kujizuia asi pige bao,
Nacho weza kukuambia ufanye, ni hiki ongea na mwenza wako, ajaribu kujizuia asi pige bao pale anapo hisi ndo linakuja, afanye haya
1. Apunguze speed
2. anaweza simama kabisa ku pga push-up
3. aku kiss, akutomase effectively yani
4. Anaweza toa mashine nje kabisa, au ww unaweza itoa ww mwenyewe
5. asifikilie sana apo, achukulie ni ktu cha kawaida tuu
WEWE FANYA HAYA
1. bila shaka hua una gundua kua sasa ndo anakalibia ku piga bao, basi ukigundua tuu ilo na unaona hujafika unapotaka basi usifanye chochote kitacho ongeza hisia zake, mfano (kulia kimahaba, kumkiss, kukata kiuno, kuifinyia kwa ndani, kumpapasa, au kufanya chochote tuu kinacho onyesha unafurahia kuja kwa ilo bao)
2. unaweza msaidia pia, kwa kumuuliza kitu ambacho hakiusiani kabisa na sex, yani mtoe kimawazo asi concentrate sana kwenye utam anao upata.
3. Akishindwa kulizuia, uconeshe kuchukia, jaribu ata kumpa moyo kua leo bby umechelewapo..
4. usikubali muanze kusex mapema, fanya romance mda wakutosha, dakika 30 ata saa moja mkiweza.
5. uki ona ana hamu saaaaana, basi apo ndo uckubali kabisaaaaa muanze kudu apo apo, we fanya uwezavyo yani muanze kusex mpaka pale utapo ona kama anakata atamaa ivi, apo ndo penyewe..
6. Jitaidi kutumia style tofauti tofauti, na uwe una chek ni style ipi anawai kukojoa na ipi anachelewa,
7. Akiweza kujizuia tuu basi fanyeni upesi mbadilishe style namuendelee kupiga push-up zenu..
HITIMISHO
mimi nimeweza bila hata kumshilikisha mwenzangu, nliona tuu kua ana pata tabu mana nilikua niwa dakika 3 adi 5 tuu..
Nimeweza bila kufanya ayo mazoez wala kunywaizo dawa za wamasai,
USIJARIBU KUMSHAURI ATUMIE izo čjui konyag, cjui kimasai, izo ni shida tuu, zitakuletea matatizo mbeleni..