Tina
JF-Expert Member
- Jul 9, 2007
- 572
- 581
Kuna taarifa kwamba baada ya kitchen party la nguvu mtoto wa E. Lowassa anafanyiwa sendoff la nguvu kesho pale Diamond Jubilee ambako JK amethibitisha kuongoza mamia ya wageni maarufu.
Katika shughuli hiyo kumepangwa kuwapo maandalizi maalumu kimkakati mfano JK kukaa na Lowassa na Rostam Aziz atakaa na mzee Ali Hassan Mwinyi na kadhalika.
Mtoto wa EL anaolewa na mtoto wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori aliyeondolewa, Emmanuel Severe.
Mambo yatayofanyika hapo yatasaidia kumuandaa EL katika safari yake ya kujisafisha.
Kwa kuwa nimeingia Dar tokea jana kwa ajili ya shughuli za harusi hii, nitawaletea taarifa ya yatakayojiri kama hawatanishitukia.